Top 15: Majeshi bora na yenye nguvu barani Afrika

Hapo ndo napata imani kwa military security system ya Tanzania , hamna anayetujuwa.
 
Mbona kama changa la macho hilo,Nigeria wana janga la boko haramu na wamelishindwa nguvu yao ipi ?
Misri maandamano tu yanatosha kuwakimbiza masoldier,nguvu yao ipi ?
Kenya hata kulinda mipaka ya nchi shida,hadi leo wanahangaika kuwafurumua al shabab,nguvu yao ipi ?
JWTZ fanyeni kazi,tunawapenda sana na nyie ndio jeshi letu la ukweli,tunawaamini.
 
Hata kama Tanzania haimo kwenye hiyo list haijalishi lakini swali la msingi hapa ni je ni kweli kwamba total population ya Kenya ni 45 milion people? Na kama jibu ni hapana, je credibility ya hiyo source ipoje?
 
Wanabodi uki goggle kwenye african military ranking utapata mshangao
 
Kuna uwezekano vifaa vingi vya jeshi letu ni toleo la zamani sana ata njia zitumikazo katika mafunzo kuna uwezekano ni locally saana ukilinganisha na ukuaji wa technology duniani
 
ubora wajeshi la kongo DRC umetoka wap wakati wahuni wa m23 wamefulumushwa na vijana wetu wa JWTZ?wacheni mzaha.
 
Mleta mada tuombe radhi,kenya,uganda,rwanda waungane bado hakiwezi kikosi chetu cha JWTZ.
 
Nchi zilizo juu nyingi zina mafuta wao wakiuza mafuta ni kununua siraha huku raia wao wakifa baharini wakiitafuta ulaya.vita ni Mbinu pamoja na siraha bora na uvumilivu na nidham ya jeshi.wauza siraha wanachokifanya ni kutoa siri kwamba south ana siraha kadhaa ili anaeona anazo chache anunue kama south.mbona hii report inabase sana Afrika na mara kwa mara.mimi naliamini jeshi la Tanzania na ikiwa baadhi ya viongozi wa jeshi wa nchi kama zimbabwe,botswana,namibia na south Africa wamepata mafunzo hapa na wanaeshimiwa kwa kuwa viongozi makini kabisa katika nchi zao..mwaka juzi tuliwapa mafunzo askari wachache kutoka south wanajiita balet ukienda jozi wengi wanaongea kiswahili na ndio police waliojitahidi kupunguza crime johannesburg.wana mbinu zoote za FFU. Wao wanasema haya mafunzo ya police tuu ni kama kwao jeshi ssa jeshi ndio ipoje huko..
 

tupe source manake Un wanaikubal sana jesh la Tanzania katika nchinza kusini mwa jangwa la sahara asa ww hzo rekodi zako inakuaje Tanzania haipo afu kenya ipo namashaka na data zako
 
Nataka kufahamu kitu kimoja wadau....Hivi unaweza kuwa na jeshi imara wakati kiuchumi upo dhaifu???
 
Sina hamu na CCM kwa mambo mengii ... ESCROW, EPA, UJANGILI, SEMBE, RICHMOND, MIKATABA YA KIFISADI, KUKWAPULIWA KWA MADINI YETU, GAS ... MAISHA MAGUMU, KODI KUBWA KWENYE MSHAHARA, MISHAHARA DUNI ISIYOKIDHI GHARAMA ZA MAISHA n so much more ...
 
Duh...naomba ntumie hyo link nisome zaid kuhusu JWTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…