Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD

1)- Johannesburg πŸ‡ΏπŸ‡¦12,300

2)-Cape Town πŸ‡ΏπŸ‡¦7,400

3)- Cairo πŸ‡ͺπŸ‡¬7,200

4)- Nairobi 4,400

5)- Lagos πŸ‡³πŸ‡¬ 4,200

6)- Cape Winelands (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦3,600

7)- Durban, Umhlanga & Ballito πŸ‡ΏπŸ‡¦3,500

8)-The Garden Route (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦3,200

9)- Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦2,800

10)- Pretoria πŸ‡ΏπŸ‡¦2,100

11)- Accra πŸ‡¬πŸ‡­ 1,900

12)- Luanda πŸ‡¦πŸ‡΄1,500

13)- Marrakech πŸ‡²πŸ‡¦1,400

14)+ The Whale Coast (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦1,200

15)- Windhoek πŸ‡³πŸ‡¦1,200

16)-Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ1,200

17)- Tangier πŸ‡²πŸ‡¦ 1,000

18)-Algiers πŸ‡©πŸ‡Ώ1,000

19)- Grand Baie πŸ‡²πŸ‡Ί900

20)- Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό 800

Source: New World Wealth
 
wote ni wafu, ila wanazidiana kunuka
 
Kwamba Nairobi inazidiwa idadi ya Millionea na Rwanda kigali?
Haupo serious mkuu
 
Nairobi isikie juu juu tu nenda ukavisit then uta understand private stores ni mingi mno hadi zimefanya vitongoji vidogo kuunagnika na city centre ukienda hujui city ni wapi... Mzunguko wa pesa ni mkubwa mno so watu wanatajirika haraka sana.. issue ya Nairobi ni public transport tu Matatu raia wanateseka sana during rush hours
 
Mkuu,
Tafuta chanzo upya, haiwezekani kigali wakawazidi number of millionea Nairobi
 
Ficha upumbavu wako mkuu... Kama unashangazwa weka sababu zako za kustushwa, la hasha nyamaza uheshimike...
Screenshot_20240814_200750_Google.jpg

Tazama hio namba sasa
 
Nairobi isikie juu juu tu nenda ukavisit then uta understand private stores ni mingi mno hadi zimefanya vitongoji vidogo kuunagnika na city centre ukienda hujui city ni wapi... Mzunguko wa pesa ni mkubwa mno so watu wanatajirika haraka sana.. issue ya Nairobi ni public transport tu Matatu raia wanateseka sana during rush hours
Kwani Kibera iko wapi Kenya kama sio Nairobi?
Maisha ya Kibera (uchafu, umaskini wa kupindukia, uhalifu, magonjwa, makazi duni) ndio kioo halisi cha maisha ya wakazi wa Nairobi.
 
Kila nchi inasehemu kama unazozitaja but reach ni wengi some times ni vyema kusimamia hoja za mada husika..
 
Nairobi isikie juu juu tu nenda ukavisit then uta understand private stores ni mingi mno hadi zimefanya vitongoji vidogo kuunagnika na city centre ukienda hujui city ni wapi... Mzunguko wa pesa ni mkubwa mno so watu wanatajirika haraka sana.. issue ya Nairobi ni public transport tu Matatu raia wanateseka sana during rush hours
Hakuna tofauti kubwa sana katika mzunguko wa hela kati ya Nairobi na Dar...
Kenya nachoipendea ni mfumo wao wa lipa kwa Mpesa uko advanced kiasi kwamba unaweza ishi mwaka mzima hujashika cash ..

Ila mambo mengine Nairobi is like any other African city. Politicians na wezi huko serikalini ndo wana hela...wananchi wengi bado ni maskini sana...
Wasomali ni wengi pia. Wanaiba huko kwao na kuinvest kenya
 
Millionaires in which currency? Yawezekana ni kwa KES.
Hata hivyo Nairobi ina dollar millionaires wengi kuliko Kigali. Sababu investments za wazawa Nairobi ni kubwa kuliko za wazawa Kigali. Hapohapo Kigali kuna investments kubwa za wakazi wa Nairobi lakini Nairobi hakuna investments kubwa za wakazi wa Kigali.
 
Kenya nchi ya kifisadi,ilikua ikishindana na nigeria huko nyuma,hakuna tourism wala financial services za kuifanya kuwa vibrant economically,hao wezi ndiyo wanawekeza nairobi
 
Top 20 Wealthiest Cities in Africa by number of Millionaires in USD

1)- Johannesburg πŸ‡ΏπŸ‡¦12,300

2)-Cape Town πŸ‡ΏπŸ‡¦7,400

3)- Cairo πŸ‡ͺπŸ‡¬7,200

4)- Nairobi 4,400

5)- Lagos πŸ‡³πŸ‡¬ 4,200

6)- Cape Winelands (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦3,600

7)- Durban, Umhlanga & Ballito πŸ‡ΏπŸ‡¦3,500

8)-The Garden Route (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦3,200

9)- Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦2,800

10)- Pretoria πŸ‡ΏπŸ‡¦2,100

11)- Accra πŸ‡¬πŸ‡­ 1,900

12)- Luanda πŸ‡¦πŸ‡΄1,500

13)- Marrakech πŸ‡²πŸ‡¦1,400

14)+ The Whale Coast (region) πŸ‡ΏπŸ‡¦1,200

15)- Windhoek πŸ‡³πŸ‡¦1,200

16)-Dar Es Salaam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ1,200

17)- Tangier πŸ‡²πŸ‡¦ 1,000

18)-Algiers πŸ‡©πŸ‡Ώ1,000

19)- Grand Baie πŸ‡²πŸ‡Ί900

20)- Kigali πŸ‡·πŸ‡Ό 800

Source: New World Wealth
Fanya tu Top 10 Mkuu..huko kwingine sio.
 
Back
Top Bottom