Kweli JF ni mtandao mpana sana kuna watu humu wana post laki ila sijawahi kukutana nao kwenye thread yeyote ile miaka na mikaka,
1. RUTASHUBANYUMA hili jina sio geni machoni mwangu ila sikumbuki kama nishawahi kusoma post yake yoyote ile thread ama comment
2. NUMBISA hili username ndio kwanza naiona leo hapa
3. MSHANA JR huyu platnum member nimekutana nae mara nyingi mno humu ndani
4. SHUNI huyu huwa naona comments zake nyingi tu ile post yake mwenyewe sidhani
5. SHIMBA YA BUYENZE sijawahi kukutana na post yake popote pale
6. BAK huyu nadhani ana DP ya Mike Tyson au lookalike ya "Iron Mike the Kid dynamite"
7. ISIS nakutana nae post nyingi
8. NYANI NGABU nakutana nae post nyingi
9. MYOYAMBENDI sijawahi kutana nae
10. MMAWIA sijawahi kutafuta nae
11. MZEE WA LIVER nope
12. MOULD GULF nope
13. FAIZA FOXY huyu bibi nakutana nae kwenye post nyingi za dini, elimu na East Africa forum kule
14. ERYTHROCYTE nakutana nae post nyingi
15. JAEL nope
16. ASPRIN nakutana nae post nyingi
17. MISS CHAGGA huyu nilikuwa namuona post nyingi kipindi hicho mm newbie JF
18. SAKAYO nakutana nae post nyingi
19. WATU 8 nakutana nae post nyingi
20. KIRANGA huyu babu nakutana nae mara nyingi "sipendi anachokiamini ila huwa napenda soma contents zake"
Sija mfollow ila huwa nikiingia JF ni kati ya watu ambao naangalia wame post nn either comment au thread, pia nakuwa selective sana ninaapo pitia contents zake kwa sababu sitaki spoil my faith so nakuwa na double advantage nachukua mazuri kutoka kwake ila uzwazwa wake namuachia abakinao[emoji16]
Sent using
Jamii Forums mobile app