Top 20 ya JamiiForums

Top 20 ya JamiiForums

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kaka mimi kufikisha idadi kama hizo ndani ya mwaka mmoja inabidi niache kufanya kila kitu kuanzia kula hadi kulala nishinde JF 24/7 nacomment tu kwa kila uzi
Karma sikuoni kwenye orodha hapa. Unakwama wapi ? 2020 uingie kwenye hii orodha basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kaka mimi kufikisha idadi kama hizo ndani ya mwaka mmoja inabidi niache kufanya kila kitu kuanzia kula hadi kulala nishinde JF 24/7 nacomment tu kwa kila uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba zako sio haba, naona zinasogea sogea kufika mwezi wa sita nadhani tutakuwa tunazungumzia Malaki kwenye messages and Reaction Scores. Ongeza juhudi tu.
 
Utajua tu wauza duka na madalali hwengine badowanalelewa namasweet heart yao hiviikweli unamajukumu ya familia na ela ilivyo ngumu kitaa mi mwenyewe kupata muda nao pata humu ni kazi sana
 
Super Villain usijifanye huoni kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu tuna miaka na post zetu zina walakini
 
Kweli JF ni mtandao mpana sana kuna watu humu wana post laki ila sijawahi kukutana nao kwenye thread yeyote ile miaka na mikaka,

1. RUTASHUBANYUMA hili jina sio geni machoni mwangu ila sikumbuki kama nishawahi kusoma post yake yoyote ile thread ama comment

2. NUMBISA hili username ndio kwanza naiona leo hapa

3. MSHANA JR huyu platnum member nimekutana nae mara nyingi mno humu ndani

4. SHUNI huyu huwa naona comments zake nyingi tu ile post yake mwenyewe sidhani

5. SHIMBA YA BUYENZE sijawahi kukutana na post yake popote pale

6. BAK huyu nadhani ana DP ya Mike Tyson au lookalike ya "Iron Mike the Kid dynamite"

7. ISIS nakutana nae post nyingi

8. NYANI NGABU nakutana nae post nyingi

9. MYOYAMBENDI sijawahi kutana nae

10. MMAWIA sijawahi kutafuta nae

11. MZEE WA LIVER nope

12. MOULD GULF nope

13. FAIZA FOXY huyu bibi nakutana nae kwenye post nyingi za dini, elimu na East Africa forum kule

14. ERYTHROCYTE nakutana nae post nyingi

15. JAEL nope

16. ASPRIN nakutana nae post nyingi

17. MISS CHAGGA huyu nilikuwa namuona post nyingi kipindi hicho mm newbie JF

18. SAKAYO nakutana nae post nyingi

19. WATU 8 nakutana nae post nyingi

20. KIRANGA huyu babu nakutana nae mara nyingi "sipendi anachokiamini ila huwa napenda soma contents zake"

Sija mfollow ila huwa nikiingia JF ni kati ya watu ambao naangalia wame post nn either comment au thread, pia nakuwa selective sana ninaapo pitia contents zake kwa sababu sitaki spoil my faith so nakuwa na double advantage nachukua mazuri kutoka kwake ila uzwazwa wake namuachia abakinao[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kutaka kubadili imani ya mtu.

Naomba tuelewane hilo. Nachukulia suala la imani kama suala la mtu binafsi.

Mimi najadili facts.

Namulika mapungufu, factually tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom