Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mimi ni mtuMshana Jr
Numbisa
Shunie
Sakayo
Erythrocyte
Watu 8
Kiranga
Njooni mtuthibitishie. Nyie ni watu kweli AU maroboti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mtuMshana Jr
Numbisa
Shunie
Sakayo
Erythrocyte
Watu 8
Kiranga
Njooni mtuthibitishie. Nyie ni watu kweli AU maroboti?
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kila kitu kipo wazi.? Sema tu hujapenda kutafutaHuo mda wa kuangalia hizo post kwa watu wote unatoa wap
😀😀😀Huo mda wa kuangalia hizo post kwa watu wote unatoa wap
Mi bado bado jamaa yangu ndo kwanza new member hao wote ni expert siwezi kucompet naoJamaa huna maana nilifikiri na wewe ungejiorodhesha matokeo yake haupo hata kwenye namba sifuri
Mchuano ulihusu members waliotuma meseji nyingi kuliko wengineWameibuka kidedea dhidi ya nani na mchuano huo ulihusu nini ?
Umewezaje kufikisha message zote hizo tupe siri ya urembo kama hutojali jamaa yanguMimi ni mtu
Ebo Mi mbona hujanitaja nipo humu toka 1998Mi bado bado jamaa yangu ndo kwanza new member hao wote ni expert siwezi kucompet nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wa nguvu...Mimi ni mtu
Kama wa 3 ni mchawi mzee Mshana Jr huyo wa kwanza atakuwa nani ??? Jiulize hapoTop 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums
1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member)
Message: 169,603
2. NUMBISA( JF-Expert member)
Message: 151,963
3. MSHANA JR(platnum member)
Message: 127,933
4. SHUNIE(JF-Expert member)
Message: 118,537
5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert member)
Message: 113,628
6. BAK (JF-Expert member)
Message: 98,036
7. ISIS (JF- Expert member)
Message: 91,562
8. NYANI NGABU (Platnum member)
Message: 84,270
9. MYOYAMBENDI(JF-Expert member)
Message: 83,216
10. MMAWIA(JF- Expert member)
Message:80,227
11. MZEE WA LIVER (JF-expert member)
Message: 73,642
12. MOULD GULF (JF- Expert member)
Message: 69,046
13. FAIZA FOXY(JF- Expert member)
Message: 67,854
14. ERYTHROCYTE(JF- Expert member)
Message: 66,371
15. JAEL(JF- Expert member)
Message: 64,515
16. ASPRIN(JF- Expert member)
Message:60,759
17. MISS CHAGGA(JF- Expert member)
Message: 57,726
18. SAKAYO(JF- Expert member)
Message: 53,036
19. WATU 8 (JF- Expert member)
Message: 52,573
20. KIRANGA(JF- Expert member)
Message: 48,656
Swali fikirishi: hawa members ni watu kweli AU ni maroboti..? But bravo anyways kwa kuibuka videdea
Watakuwa mashine.... 🤣 🤣Top 20 ya members wenye meseji nyingi kuliko wote jamii forums
1. RUTASHUBANYUMA(JF-Expert member)
Message: 169,603
2. NUMBISA( JF-Expert member)
Message: 151,963
3. MSHANA JR(platnum member)
Message: 127,933
4. SHUNIE(JF-Expert member)
Message: 118,537
5. SHIMBA YA BUYENZE( JF- Expert member)
Message: 113,628
6. BAK (JF-Expert member)
Message: 98,036
7. ISIS (JF- Expert member)
Message: 91,562
8. NYANI NGABU (Platnum member)
Message: 84,270
9. MYOYAMBENDI(JF-Expert member)
Message: 83,216
10. MMAWIA(JF- Expert member)
Message:80,227
11. MZEE WA LIVER (JF-expert member)
Message: 73,642
12. MOULD GULF (JF- Expert member)
Message: 69,046
13. FAIZA FOXY(JF- Expert member)
Message: 67,854
14. ERYTHROCYTE(JF- Expert member)
Message: 66,371
15. JAEL(JF- Expert member)
Message: 64,515
16. ASPRIN(JF- Expert member)
Message:60,759
17. MISS CHAGGA(JF- Expert member)
Message: 57,726
18. SAKAYO(JF- Expert member)
Message: 53,036
19. WATU 8 (JF- Expert member)
Message: 52,573
20. KIRANGA(JF- Expert member)
Message: 48,656
Swali fikirishi: hawa members ni watu kweli AU ni maroboti..? But bravo anyways kwa kuibuka videdea
Waite waje watuthibitishie kama wana uhusiano na robots au la..!Numbisa wakishuaaaa [emoji3][emoji3]
moudgulf njoo huku
myoyambendi mpendwa njoo
SHIMBA YA BUYENZE big bro [emoji7]
Jitahidi kuwa active na kuchangia mijadala mbali mbali utawafikia jamaa yangu.!Ebo Mi mbona hujanitaja nipo humu toka 1998
Robots wa Home of GTWatakuwa mashine.... [emoji1787] [emoji1787]
Hawana
[emoji3][emoji3][emoji3]Kama wa 3 ni mchawi mzee Mshana Jr huyo wa kwanza atakuwa nani ??? Jiulize hapo
Sent using Jamii Forums mobile app