Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
[emoji23][emoji23][emoji23]chukua zote tu maana sms hizi zimeniongezea maadui wa kwanza ni hance
Rafiki unipunguziage hizo meseji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki unipunguziage hizo meseji.
Hahahaaa. Yabidi nizibebage uanze upya kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23]chukua zote tu maana sms hizi zimeniongezea maadui wa kwanza ni hance
Bora nyani Ngabu na Mshana Jr posts zao zinamaana kuliko hao wengine wanaoshinda makapuku na Uzi wa kupeana likes.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Yabidi nizibebage uanze upya kwa kweli.
Haya ndio maneno sasa rafiki.😂😂Na likes chukuaaa yaan vyote vyako best angu mpendwa
Jamani hii akaunti ni ya kaka.[emoji23][emoji23][emoji23]Tubadilishane, nitajidaije!!!!
Lengo letu kuandika humu ni kuelimisha jamii na labda kufichua yanayofichwa ili jamii itoke ndani ya chungu cheusi , si lengo letu kushindana na mtu yeyoteMchuano ulihusu members waliotuma meseji nyingi kuliko wengine
Matokeo ndiyo hayo umeshika nafasi ya 14. Bravo to you!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Jamani hii akaunti ni ya kaka.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka uone makorokocho ya kaka ??
Cha kusikitisha ni kwamba hata mimi mwenyewe sioni kama nimeandika mara ngapi wala sijui , lakini huu ni uthibitisho wa kumiliki ID moja tuUmewezaje kufikisha message zote hizo tupe siri ya urembo kama hutojali jamaa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka ni mtu mwema sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na usifute chochote.
Mshana kila post, kila Uzi lazima aonekane Sasa hiyo maanake Nini?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ni mtu mwema sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hunioni kabisa ???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaaminije sasa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]