Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi uwafikie jamaa yangu!wakati mim8 nikiwa na post 1k tu tu kuna mtu anapost 170k kasoro. Dah siyo poa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuwa serious basiNI maroboti hao kasoro shunie na mshana jr NI watu ila Wana vinasaba vya uroboti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuwa serious kidogo
Wambie waje kutoa mwongozo kama ni maroboti au binadamu wa kawaida
Hakuna, japo speed ni kubwa kwa sasa ila huwa nina vipindi nabanwa so hiyo top 20 siwezi.
Siyo ushindani mama lt is just for funLengo letu kuandika humu ni kuelimisha jamii na labda kufichua yanayofichwa ili jamii itoke ndani ya chungu cheusi , si lengo letu kushindana na mtu yeyote
Hongera! nilianza kupatwa na wasi wasi wa kudhani wewe ni robotCha kusikitisha ni kwamba hata mimi mwenyewe sioni kama nimeandika mara ngapi wala sijui , lakini huu ni uthibitisho wa kumiliki ID moja tu
Wanadai ni mchawi labda misukule yake inamsevu kucoment [emoji1][emoji1]Mshana kila post, kila Uzi lazima aonekane Sasa hiyo maanake Nini?!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi robot!!😂😂
Teh teh teeeeeh!!Wewe hunioni kabisa ???
He! Sikujua..