Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

Kwangu Ngwea ni No. 1

Wengine wanabadilishana nafasi
 
Kwangu kwenye Top 3 hayupo. Maana yeye kwangu ni no 4

Ila roma kwenye top 3 yako yumo

Afu ukimuuliza roma anakwambia bado anajichua kufika lvl aliyopo q

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we wa early 20’s
 
Joh Makini ni rapper wa kawaida kabisa kama Kitokololo au Msafiri Diouf. Hizi sio level zake.

Lord Eyez hana mafanikio yeyote kwenye hii game. He's average.

NB: Hawatuwezi ndio ngoma yangu bora ya hip hop ya muda wote!

Inawezekana hupendi tu muziki wa Joh Makini(which is ok kila mtu ana taste yake)

Sio mshabiki wake kabisa lakini siwezi kupuuzia uwezo wake mkubwa wa kiuandishi, flow, swaga na beat selection

Kwenye top 10 yangu anaingia bila shaka
 
Inawezekana hupendi tu muziki wa Joh Makini(which is ok kila mtu ana taste yake)

Sio mshabiki wake kabisa lakini siwezi kupuuzia uwezo wake mkubwa wa kiuandishi, flow, swaga na beat selection

Kwenye top 10 yangu anaingia bila shaka
Kiukweli kama mtu ni mfatiliaji wa hip-hop ya Bongo huwezi kumdiss joh hivo...
Kwanza joh alifanikiwa Sana kimauzo, umaarufu, Ngoma kali zilizopenya Hadi vijijini, swaga na pia mistari mikali inayoigusa jamiii...

Ambaye hamjui vizuri joh apitie hizi ngoma ukiendelea kibisha kaombewe roho ya chuki ikae mbali na nafsi yako..

1. Chochote popote
2. Niaje nivipi
3. Manuva
4. Bye bye
5. Stimu zimelipiwa
6. Blue magic
7. Hao
8. Kilimanjaro
 
Huubwimbobwa stimu simelipiwa ulibadilisha game ya bongo hiphop
 
Prof J apewe maua yake, naona kila mtu kamtaja. Binafsi namkubali pia kibongo bongo amefanya vizuri sana kwenye hip hop.
 
Solo Thang
Inspector Haroun
Mangwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…