Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

Top 3 Of all time kwa hapa Bongo

List yako kama haina hivi vichwa basi itakua ni BATILI

without particularly order
Jongwe
Jay wa mitulinga
Kiroboto
Babu
FA
AY
Ngosha
Ngwea
Mwamba wa kskzn
Baba malcom
The incredible
Darassa
Rosa Ree
Mchopanga
King kong
Afande Sele
Solo thang
Langa
 
Hii ndio top 3 yangu ya greateast rapper of all time hapa Bongo.

1. Albert Mangwair
2. Professor Jay
3. Jay Moe

Nipe ya kwako mdau...
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Imesimama vilivyo!!Watu wanamchukukia Poa Mchopanga!!
J Mo ni mkali sana !!!
 
1) Joh Makini
2) Lord Eyez
3) Fid Q

Prof J, sugu, jay mo Hawa wapo overrated nyakati ziliwabeba
 
1) Joh Makini
2) Lord Eyez
3) Fid Q

Prof J, sugu, jay mo Hawa wapo overrated nyakati ziliwabeba
Joh Makini ni rapper wa kawaida kabisa kama Kitokololo au Msafiri Diouf. Hizi sio level zake.

Lord Eyez hana mafanikio yeyote kwenye hii game. He's average.

NB: Hawatuwezi ndio ngoma yangu bora ya hip hop ya muda wote!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabisa Joh ni km Msafiri Diouf na Nick Abdul Misambano
 
Back
Top Bottom