Top 3 ya wachezaji wa mpira wa miguu!

Top 3 ya wachezaji wa mpira wa miguu!

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA

Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?

WELCOME>>>

Goal Kick
 
kitalembwa kwahiyo messi ndo the best among them?
ndiye the best.. hatuwez kumweka pele... enzi zake soka halikuwa na ushindani mkubwa, pia kulikuwa hamna sheria nyingi za soka kama sasa, kulikuwa amna mabeki visiki kama nyakati hizi.... hivi enzi za pele kulikuwa na vitasa kama kina ramos ? puyol ? gattuso ? vidic ? jibu unalo.

halafu hata sheria za offside hazkwepo, unaweza kuta nusu ya magoli aliyofunga aliotea.. i do respect his talent, ila messi anastahili kuwa namba moja.
 
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA

Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?

WELCOME>>>

Goal Kick
Neymar Jr
 
Zamoyoni Mogella
Emmanuel Okwi
Dua Said
 
Hussein Aman Marsha,George Masatu,Dua Said,Edibilly Lunyamila,Twaha hamidu,
Efford chaballa,Numba Mwika,Moses Chikwalakwala,George Semeogerere,Majidu Musisi,Issa Sekatawa.
Ausitin Jay jay Okocha,Taribo west,Victor ikpeba,Julius Aghahowa!
Lother matheus,Jurgen klinsman,Rudi Voller,Thomas Nkono!
 
Wewe inaonyesha ni mbrazili. So acha chuki mzee

......Kwahiyo mtu akiwa hamkubali mtu unayemkubali wewe ana chuki?

..........huu ujinga sijui nani kawafundisha?

Mchezaji hana rekodi ya kuchukua WC anakuwaje bora?

........Ajaribu kuhama hapo Barca tuone kama ataonekana tena..........
 
We naye kichwani garasha tu....!!!
 
Back
Top Bottom