Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA
Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?
WELCOME>>>
Goal Kick