ndiye the best.. hatuwez kumweka pele... enzi zake soka halikuwa na ushindani mkubwa, pia kulikuwa hamna sheria nyingi za soka kama sasa, kulikuwa amna mabeki visiki kama nyakati hizi.... hivi enzi za pele kulikuwa na vitasa kama kina ramos ? puyol ? gattuso ? vidic ? jibu unalo.kitalembwa kwahiyo messi ndo the best among them?
Huyo adunje wa Argentina wanamkuza tu.
1.Pele
2.Ronadinho
3.Ronaldo De Lima
Neymar JrKatika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA
Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?
WELCOME>>>
Goal Kick
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA
Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?
WELCOME>>>
Goal Kick
Hussein Aman Marsha,George Masatu,Dua Said,Edibilly Lunyamila,Twaha hamidu,Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu ambao walikuwa au wana vitu vya ziada vyenye kuwatofautisha na wenzao....
Baada ya kupita huku na kule kutafuta 'utatu' huo.Niliwaona wakitajwa kwenye top 3 sehemu nyingi ni-
I)PELE
2)LEO MESSI
3)DIEGO MARADONA
Je,kwa upande wako ni hao au kuna wengine,nani hafai kukaa kwenye utatu huo?nani aingie badala yake?
WELCOME>>>
Goal Kick
Wewe inaonyesha ni mbrazili. So acha chuki mzee
We naye kichwani garasha tu....!!!......Kwahiyo mtu akiwa hamkubali mtu unayemkubali wewe ana chuki?
..........huu ujinga sijui nani kawafundisha?
Mchezaji hana rekodi ya kuchukua WC anakuwaje bora?
........Ajaribu kuhama hapo Barca tuone kama ataonekana tena..........