Top 4 EPL 2020/2021

Top 4 EPL 2020/2021

Huyo liverpool nafasi ya nne ataitafta kwa tochi

Wametumia misimu minne kwa nguvu kubwa sana wachezaji wao wamechoka na walivobeba ubingwa tambua timu zote 19 zinaenda kwa kuwa pania wao

Mf ni spurs ya msimu uliopita ilivkuwa mbovu sababu wametumia misimu mnne kwa nguvu sana
Akili za kibongo hizi si za mzungu, badilika bro wenzako liva wanafundishana mfumo mpya wa 4-2-3-1, ukichomoka kwa 4-3-3 wanaingiza huo
 
1.Machester City
2.Chelsea
3.Manchester United
4.Tottenham

*Kabla hujanikosoa, kumbuka huu ni utabiri usilazimishe mawazo yako yakubalike na kila mtu.
 
MUN UTD

MAN CITY

ARSENAL

LIVERPOOL

*CHELSEA

Mark my words!
 
Back
Top Bottom