Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unawaza hivi mpaka sasa.Mkuu wewe unaujua mpira,na mimi top 4 yangu ni hii
aaaaaaaah eti anaujua mpira...arsen8Mkuu wewe unaujua mpira,na mimi top 4 yangu ni hii
. Bro unataka kusema man u atachukua ubingwa?MANCHESTER UNITED
EVATON
LIVERPOOL
CHELSEA
Bingwa atachukua kwa tofauti ya points 5.
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu hufai hata kuwa nabii wa uongo
. Bro unataka kusema man u atachukua ubingwa?
Man u sijaiangalia muda sana,mambo n mengi sifahamu hata inashika nafas ya ngapi kwenye msimamo wa ligi ,kwanza iliniboa sana
Hamjacheza badoTunaongoza ligi mkuu.
Mkuu nahitaji hyo bangi kutoka nairoto mocambique...inaonekana ipo strong Sana😀Sasa kumbe nini?
Au haujui anaeongoza ligi ndio bingwa?
Narudia tena, Manchester United ndio bingwa msimu huu 20/21 atakae bisha nitampasua.
. Tunaweza kuweka BattleSasa kumbe nini?
Au haujui anaeongoza ligi ndio bingwa?
Narudia tena, Manchester United ndio bingwa msimu huu 20/21 atakae bisha nitampasua.
Hamna kitu hapaLete yako, mimi yangu...
1.Liverpool
2.Chelsea
3.Man city
4.Man united