Top 4 EPL 2020/2021

Top 4 EPL 2020/2021

MANCHESTER UNITED

EVATON

LIVERPOOL

CHELSEA

Bingwa atachukua kwa tofauti ya points 5.
 
Man u sijaiangalia muda sana,mambo n mengi sifahamu hata inashika nafas ya ngapi kwenye msimamo wa ligi ,kwanza iliniboa sana
 
Sasa kumbe nini?
Au haujui anaeongoza ligi ndio bingwa?
Narudia tena, Manchester United ndio bingwa msimu huu 20/21 atakae bisha nitampasua.
. Bro unataka kusema man u atachukua ubingwa?
 
Sasa kumbe nini?
Au haujui anaeongoza ligi ndio bingwa?
Narudia tena, Manchester United ndio bingwa msimu huu 20/21 atakae bisha nitampasua.
Mkuu nahitaji hyo bangi kutoka nairoto mocambique...inaonekana ipo strong Sana😀
 
1. Spurs
2. Looserpool
3. City
4. United

Mark this post.
 
Back
Top Bottom