Top 5 Artist Africa Wenye Subscribers Wengi

Sikubali mondi kanunuwa mana yeye anachezea pesa zakee
 
5. TECNO
4. FLAVOUR
3. MARVIN RECORDS
2. P-SQUARE
1. DIAMOND PLATNUMZ
Tanzania tungekuwa na population ya Nigeria nadhani Diamond kupata Views 50M ingekuwa ni jambo la kawaida sana kwake. Yaani msanii kutoka nchi yenye about 50M population, anazidi subscribers wasanii kutoka nchi yenye about 200M population
 
hao c waliacha a.c zao za youtube waka hamia vevo
You're right lakini kwa kasi ya subscribers wa Mond huko Vevo, bado angewaacha tu!! Usisahau Mond ka-post mara moja tu Vevo lakini anakimbilia subscribers 80K huku mtu kama Davido ambae kwa sasa anatumia Vevo mara zote lakini hata subscribers 300K hajafikisha!!!

Watanzania hatuna hiyana kwenye mambo yasiyohitaji kutoa pesa!!!!
 
Big up chibu. utasikia kanunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…