AnithaJohn
Member
- Oct 5, 2017
- 5
- 3
Hawa Ndio Top 5 Artist Weny Subscribers Wengi kuliko wote wa kwanza huwezi Amini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5. TECNOWeka full list hapa...wengine MBs za video hatuna
Ooh hapo sawa mkuu5. TECNO
4. FLAVOUR
3. MARVIN RECORDS
2. P-SQUARE
1. DIAMOND PLATNUMZ
Siamini kama Davido/Wizkid wanakosekana kwenye list5. TECNO
4. FLAVOUR
3. MARVIN RECORDS
2. P-SQUARE
1. DIAMOND PLATNUMZ
Kama kweli ndivyo ilivyo basi safi sanaa5. TECNO
4. FLAVOUR
3. MARVIN RECORDS
2. P-SQUARE
1. DIAMOND PLATNUMZ
mkuu imetajwa top 5...hao wengine labda wamo kwenye top 10,so list hii haiwahusu.Siamini kama Davido/Wizkid wanakosekana kwenye list
hao c waliacha a.c zao za youtube waka hamia vevoSiamini kama Davido/Wizkid wanakosekana kwenye list
Tanzania tungekuwa na population ya Nigeria nadhani Diamond kupata Views 50M ingekuwa ni jambo la kawaida sana kwake. Yaani msanii kutoka nchi yenye about 50M population, anazidi subscribers wasanii kutoka nchi yenye about 200M population5. TECNO
4. FLAVOUR
3. MARVIN RECORDS
2. P-SQUARE
1. DIAMOND PLATNUMZ
You're right lakini kwa kasi ya subscribers wa Mond huko Vevo, bado angewaacha tu!! Usisahau Mond ka-post mara moja tu Vevo lakini anakimbilia subscribers 80K huku mtu kama Davido ambae kwa sasa anatumia Vevo mara zote lakini hata subscribers 300K hajafikisha!!!hao c waliacha a.c zao za youtube waka hamia vevo
Nini?Big up chibu. utasikia kanunua