Kwahiyo Delima hayupo?
Katika hizo list za hao pundits... unahisi Di Lima anamzidi nani kiwango na kwa hoja gani ?
Ulitaka wamtaje na Ajibu au?hao Wachambuzi wa kiingereza ni ovyo kabisa
1. Lionel Messi
2.Ronaldo
3.cristiano
4.Gaucho
5.Zidane
Hoja yako ipi mkuu?? Nimeanza kufuatilia mpira nikiwa na miaka 9 Pele na maradona sijawahi kuwaona wakicheza zaidi ya video clips za youtube, hao niliowataja nimewaona wakicheza na Messi ni GOT kwanguumezaliwa mwaka gani mkuu?
top four..
1. leo messi
2. maradona
3. pele
4. CR7
Hoja yako ipi mkuu?? Nimeanza kufuatilia mpira nikiwa na miaka 9 Pele na maradona sijawahi kuwaona wakicheza zaidi ya video clips za youtube, hao niliowataja nimewaona wakicheza na Messi ni GOT kwangu
1. Lionel Messi
2.Ronaldo
3.cristiano
4.Gaucho
5.Zidane
ππππ inawezekana .Vipi nembu nitajie yako ya wakubwa mkuu tuonenaona umeeka watoto wenzio tu