Top 5 Greatest Players Of All Time!

Top 5 Greatest Players Of All Time!

1. Pele
2. Maradona.
3. C. Ronaldo
4. Zidane
5. Messi (sijawahi kumkubali ila anajua)
 
umezaliwa mwaka gani mkuu?
Hoja yako ipi mkuu?? Nimeanza kufuatilia mpira nikiwa na miaka 9 Pele na maradona sijawahi kuwaona wakicheza zaidi ya video clips za youtube, hao niliowataja nimewaona wakicheza na Messi ni GOT kwangu
 
naona umeeka watoto wenzio tu
 
Pele
Maradona
Zidane
Maldini
Franz Beckenbauer

Ronaldo au Messi akibeba WC nita mdrop Beckenbauer
 
1. Lionel Messi
2.Ronaldo
3.cristiano
4.Gaucho
5.Zidane

Namba 2 na 4 hawapaswi kuwepo hata 10 bora...unamwachaje Maradona na Pele then unawaweka de lima na gaucho! 😀 Aise unawavunjia heshima hao wazee...lakini kwakuwa ni maoni yako sina budi kukupangia mkuu.
 
Back
Top Bottom