Top 5 Greatest Players Of All Time!

Upo sahihi sana we jamaa. Unapoleta mjadala usitake maoni yako ndo yawe sahihi.


Ndio tatizo la waswahili, huwa mnakurupuka bila kusoma kwa umakini...hebu nionyeshe wapi nimelazimisha anifuate nnachokiamini mimi? Mimi mtu mzima na akili zangu, huwa sifuati mkumbo kama nyie, nafuata kile nnachokiamini mimi na wala silazimishi uchache wenu mnifuate...and not just me, but the coaches themselves waliobobea na wanaojua nini maana ya mpira, hata katika upangaji wa the best squads of all time Messi na Diego huwa hawakosekani, tofauti na other players...


Tatizo wabongo mpo kishabiki na sio kisoka That's the truth kamanda...lazima niongee ukweli!
 





Diego Armando Maradona.

gaucho na de lima wamejarib kukopi kwa uyu mtukutu lakini hata robo yake hawajafikia.
 
Naomba ieleweke kwamba tunapotaja wachezaji bora huwa tunamaanisha wanadamu wenzetu wa kawaida wanaocheza mpira. Na sio alliens kama Ronaldinho Gaucho. Lile jamaa ni JINI la soka. Hebu tuendelee kuwapambanisha hawa wanadamu wenzetu!
Agiza sanitiser then jifute mikononi kujikinga na korona. Watu wenye fikra kama zako ni tunu kwa taifa.
 
Agiza sanitiser then jifute mikononi kujikinga na korona. Watu wenye fikra kama zako ni tunu kwa taifa.

Gaucho ni show player muzehe wa jukwaa asiekua na musaada katik timu,,,
Ndomaana wanaojua mupira daima hawampangi in the squad or top5 ya wachezaj borawa muda wote,,na badalayake wanawekwa wale wameutendea haki mchezo wasoka ++mafanikio.
 
1. Messi < mchezaji bora wa muda wote, na mchezaji bora kuwahi kumshuhudia >

2. Pelle < baba lao kutoka ardhi iliyojaaliwa vipaji, magoli plus world cup akiwa mchezaji wakutegemewa he deserve it )

3. Maradona < Fundi mpira, mtukutu aliyewatesa waingereza, na pia alipotua pale napoli timu ilikua tishio sana kwa kipindi hicho, hatari sana huyu mtu )

4. CR7 < second best player to witness,, kipaji + hardworking, imemuwaka cr7 kwenye level ya juu kwa mda mrefu>

5. Puskas < the ghost, winger wa hatari kabisa, wastani/mechi wa magoli kwa timu ya taifa itakupa picha ni mtu wa aina gani, aliifanya timu ya taifa "hungary" iliyokuwa ndogo kabisa kisoka kua tishio kubwa miaka hiyo, hata tuzo ya goli bora la mwaka imepewa jina lake, you can imagine his ability"

Special mention: Zizzou, yashin,backenbeur, de lima, van basten, cruffy
 
You tube zinadanganya aisee , top 5 yangu
1. Romelu lukaku
2.Olivier Giroud
3.Adebayor
4.Fred yule no 9 wa brazil world cup 2014
5.Ndiefi
Ni mtazamo tu msijenge chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…