Kwani Ronaldhino kuna kombe gani hajachukua akiwa barca na timu ya taifa kwa mchango wake?Mpira sio chenga peke yake kijana, angalis na mafanikio pia...muwe mnafuatilia basi sio ushabiki tu..It means hao ma-pundits hawajui mpira sio!
Top 5 yangu mimi inatokana na mchango wa wachezaji kwenye vilabu vyao na timu za taifaWachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports Wametaja wachezaji wao Watano Bora wa muda wote.
Kupitia kipindi cha #The footballShow, Ma-pundits wa Sky Sports, Graeme Souness, Jamie Redknapp, Paul Merson na Alan Smith, walitaja wachezaji wao wa tano bora wa muda wote.
View attachment 1440416View attachment 1440417
Je, pundit yupi unaunga mkono orodha yake, akiwemo mdau wenu BlackPanther?
Mussolin5
FORTALEZA
Yekeyeke Mshua
Aleyn
PNC n.k
Ahsanteni!
Cristiano anamzidi Maradona?1. Lionel Messi
2.Ronaldo
3.cristiano
4.Gaucho
5.Zidane
Namba mbili ana bdor tanoNamba 2 na 4 hawapaswi kuwepo hata 10 bora...unamwachaje Maradona na Pele then unawaweka de lima na gaucho! 😀 Aise unawavunjia heshima hao wazee...lakini kwakuwa ni maoni yako sina budi kukupangia mkuu.
Naunga HojaTajeni weee ila malaika na shetani wanajua Ronaldinho ndio baba lap