Top 5 Greatest Players Of All Time!

Top 5 Greatest Players Of All Time!

Mpira sio chenga peke yake kijana, angalis na mafanikio pia...muwe mnafuatilia basi sio ushabiki tu..It means hao ma-pundits hawajui mpira sio!
Kwani Ronaldhino kuna kombe gani hajachukua akiwa barca na timu ya taifa kwa mchango wake?
 
Wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports Wametaja wachezaji wao Watano Bora wa muda wote.

Kupitia kipindi cha #The footballShow, Ma-pundits wa Sky Sports, Graeme Souness, Jamie Redknapp, Paul Merson na Alan Smith, walitaja wachezaji wao wa tano bora wa muda wote.


View attachment 1440416View attachment 1440417



Je, pundit yupi unaunga mkono orodha yake, akiwemo mdau wenu BlackPanther?

Mussolin5
FORTALEZA
Yekeyeke Mshua
Aleyn
PNC n.k

Ahsanteni!
Top 5 yangu mimi inatokana na mchango wa wachezaji kwenye vilabu vyao na timu za taifa
1. Ronaldo De Lima
2. Pele
3. Maradona
4. Zidane
5. France Becknbauor
 
Kuona ni kuamini.
Nimemuona Messi.

According to me, ndiye mchezaji wangu bora wa muda wote, namba 2 mpaka 5 jazeni wenyewe.
 
1. Messi
2. Pele
3. Ronaldinho
4. Cr7
5. Maradona

Special: Cannavaro, Totti, Ruben
 
Namba 2 na 4 hawapaswi kuwepo hata 10 bora...unamwachaje Maradona na Pele then unawaweka de lima na gaucho! 😀 Aise unawavunjia heshima hao wazee...lakini kwakuwa ni maoni yako sina budi kukupangia mkuu.
Namba mbili ana bdor tano

Na goli 800 sasa kama bado humkubali basi ...hata sina la kusema
 
1 . Gaucho
2. Gaucho
3. Gaucho
4. Gaucho
5. Gaucho.

Wengine watafuata baada ya hapo. Huyo mwamba amechukua kilakitu. Kuna wengine wameorodhesha top scorers na kuwalazimisha watu waamini kuwa kuweza kufunga sana ndo tiketi ya kuwa mchezaji bora kitu ambacho si kweli. Mpira ni skills mtambuka ambazo utazikuta kwa mtu kama Gaucho, Okocha, Zidane na wengine wa kariba hiyo. Ninakuhakikishia ukiwa na watu hao uwanjani hata kama goli siku hiyo halipatikani hautajuta kwenda uwanjani.
 
Back
Top Bottom