Top 5 Overrated Players

Top 5 Overrated Players

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1.Memphis Depay
2.Mario Balotelli
3.Raheem Sterling
4.John Stones
5.Claudio Bravo

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.

dhahiri hukuangalia 2014 world cup wala hutazami La Liga mechi za Barca mpaka iwepo El- Classico..
[h=2]Career[/h] 2014 / 2015



[TH="class: sortable team hide"] Team [/TH]
[TH="class: sortable comp"] Comp [/TH]
[TH="class: sortable gs"] GS [/TH]
[TH="class: sortable sb"] SB [/TH]
[TH="class: sortable g"] G [/TH]
[TH="class: sortable a"] A [/TH]
[TH="class: sortable sh"] SH [/TH]
[TH="class: sortable sg"] SG [/TH]
[TH="class: sortable fc"] FC [/TH]
[TH="class: sortable fs"] FS [/TH]
[TH="class: sortable yc"] YC [/TH]
[TH="class: sortable rc"] RC [/TH]

[TD="class: team text-left hide"]
i
Barcelona [/TD]
[TD="class: comp text-left"]Esp Cup[/TD]
[TD="class: gs text-center"]8[/TD]
[TD="class: sb text-center"]0[/TD]
[TD="class: g text-center"]10[/TD]
[TD="class: a text-center"]0[/TD]
[TD="class: sh text-center"]25[/TD]
[TD="class: sg text-center"]16[/TD]
[TD="class: fc text-center"]7[/TD]
[TD="class: fs text-center"]14[/TD]
[TD="class: yc text-center"]0[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]

[TD="class: team text-left hide"]
i
Barcelona [/TD]
[TD="class: comp text-left"]La Liga[/TD]
[TD="class: gs text-center"]28[/TD]
[TD="class: sb text-center"]4[/TD]
[TD="class: g text-center"]22[/TD]
[TD="class: a text-center"]6[/TD]
[TD="class: sh text-center"]94[/TD]
[TD="class: sg text-center"]44[/TD]
[TD="class: fc text-center"]32[/TD]
[TD="class: fs text-center"]93[/TD]
[TD="class: yc text-center"]6[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]

[TD="class: team text-left hide"]
i
Brazil [/TD]
[TD="class: comp text-left"]Int[/TD]
[TD="class: gs text-center"]8[/TD]
[TD="class: sb text-center"]0[/TD]
[TD="class: g text-center"]8[/TD]
[TD="class: a text-center"]2[/TD]
[TD="class: sh text-center"]29[/TD]
[TD="class: sg text-center"]11[/TD]
[TD="class: fc text-center"]11[/TD]
[TD="class: fs text-center"]36[/TD]
[TD="class: yc text-center"]1[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]

[TD="class: team text-left hide"]
i
Brazil [/TD]
[TD="class: comp text-left"]WC[/TD]
[TD="class: gs text-center"]5[/TD]
[TD="class: sb text-center"]0[/TD]
[TD="class: g text-center"]4[/TD]
[TD="class: a text-center"]1[/TD]
[TD="class: sh text-center"]18[/TD]
[TD="class: sg text-center"]13[/TD]
[TD="class: fc text-center"]8[/TD]
[TD="class: fs text-center"]18[/TD]
[TD="class: yc text-center"]1[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]

[TD="class: team text-left hide"]
i
Barcelona [/TD]
[TD="class: comp text-left"]UCL[/TD]
[TD="class: gs text-center"]11[/TD]
[TD="class: sb text-center"]0[/TD]
[TD="class: g text-center"]9[/TD]
[TD="class: a text-center"]0[/TD]
[TD="class: sh text-center"]36[/TD]
[TD="class: sg text-center"]20[/TD]
[TD="class: fc text-center"]13[/TD]
[TD="class: fs text-center"]35[/TD]
[TD="class: yc text-center"]1[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]

[TD="class: team text-left"]Season Totals[/TD]
[TD="class: comp text-left"] [/TD]
[TD="class: gs text-center"]60[/TD]
[TD="class: sb text-center"]4[/TD]
[TD="class: g text-center"]53[/TD]
[TD="class: a text-center"]9[/TD]
[TD="class: sh text-center"]202[/TD]
[TD="class: sg text-center"]104[/TD]
[TD="class: fc text-center"]71[/TD]
[TD="class: fs text-center"]196[/TD]
[TD="class: yc text-center"]9[/TD]
[TD="class: rc text-center"]0[/TD]
 
Ozil ???
ulitaka achezaje unajua amecreate nafasi ngapi za wazi ??
unawaacha akina bale

kiufupi list yako ni ya hovyo kasoro luke shaw
huyo harry kane anavyofunga huoni ?
 
samahani mkuu, hapa ndo umemaliza? kama bado ishia hapa hapa.
 
Mkuu unatumia vigezo gani au fikra zako mtu kama Harry Kane, kafunga magoli 20 EPL siyo mchezo hamna kubebwa hapo.

Neymar Jr, ana uwezo angalia kazi anayefanya Barcelona kachangia kuchukuwa La Liga achilia mbali fainal ya UEFA na timu yake ya Taifa Brazil.

Ozil, mashine mkuu.

Luke, misimu miwili majeruhi yamemuandama sana ni beki mzuri wa kushoto.
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.

Kwenye list yako ondoa neimar jr tafadhari. Yuko ktk level nyingine kabisa. UMENICHEFUA
 
Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1Neymar Jr
2.Robinho
3.Ozil
4.Luke Shaw
5.Harry Kane

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.


  1. Jama Mba
  2. Jaja
  3. Kpah Sherman
  4. Oscar Joshua
  5. Jerryson Tegete

Kwangu Mimi Watajwa Wangu Hao Watano Ni Overrated Haswa Na Wanajua Sana Mpira Na Wana Uzoefu Wa Kucheza Ligi Mbalimbali Duniani!
 
Siku Zote Hiyo Picha Yako Ktk AVATAR Huwa Inakuokoa Sana Ktk Kukwepa MAKOMBORA Yangu Bila Hiyo Ungekuwa Unayakoga Sana Tu.

Usijali Mkuu, ile list yako niliitegemea kuiona nikacheka sana, nami nikaamua kukuwekea hiyo list yangu ili uweze kucheka pia.
 
Back
Top Bottom