Top 5 Overrated Players

Top 5 Overrated Players

Hapa tunaangalia wachezaji wa 5 waliopata sifa au kukuzwa zaidi kuliko ubora wao halisi.

Sifa hizi zinaweza kuwa ni kutoka kwenye media, Mashabiki au timu zao wanazocheza, lakini kiuhalisia uwezo wao ni wa kawaida.

List yangu ni hii:
1.Memphis Depay
2.Mario Balotelli
3.Raheem Sterling
4.Robinho
5.Giroud

Haya acha ubishi, tupe Top 5 ya kwako na wewe.
OZIL
 
R.Lewandowski
H.Kane
T.Muller

Hawa watatu niliowataja hata siku moia sijawahi kuwaona wanacheza mpira.
Yaani kidogo tu utasikia wameweka mpira nyavuni mpaka unqjiuliza wamecheza saa ngapi?
Mbona uwanjani huwaoni wakipiga mpira?
 
Muller hata pasi 5 hapigi ila utamuona akishangilia tu
 
Huyo Kane utamuona wakati ikitokea Penalty
R.Lewandowski
H.Kane
T.Muller

Hawa watatu niliowataja hata siku moia sijawahi kuwaona wanacheza mpira.
Yaani kidogo tu utasikia wameweka mpira nyavuni mpaka unqjiuliza wamecheza saa ngapi?
Mbona uwanjani huwaoni wakipiga mpira?
 
Mbona wengi tu

1.lionel Messi

2.dele Alli

3.virgil van djik

4.karim benzema

5.neymar jr
 
Back
Top Bottom