Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Chief, Alonso Madrid aikuwa anaheshimika sana, alikuwa na a.k.a 'El Jefe' ikimaanisha the boss. Alikuwa na uwezo wa kumkoromea hata Cristiano and get away with it, ashawahi kukiri hilo hadharani. Na hata alivyoondoka kwenda Bayern ilikuwa his own wish, Madrid wakatoa Baraka.
Heshima gani tena hiyo mzee?Bado hakupata heshima aliyostahili.
Heshima gani tena hiyo mzee?
Forget about Xabi, jamaa sio Madrid tu hata National team and all over Spain kama sio Europe anahesabiwa ni mmoja ya watu waliotoa michango mikubwa katika soka la sasa. Na siku akija kucheza Bernabeu ndio utaona jinsi gani wanaheshimu mchango wake. Sasa kama unataka wajenge monument, hiyo ni issue nyingine.
Azplicueta
Mkuu unajua Steve Bruce alikuwa anacheza na kina nani England?
Mashabiki wa Real Madrid walimuheshimu na kumshangilia Claud Makelele ila viongozi hawakujali wala kuheshimu mchango wake.Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.
Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;
Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelmem
Ipi ni top 5 yako?
Kama ya Gerrald alipata Gigs, Raul Gonzalez, Paul Maldin na wengine ila ni wachache.Ubishi mwingine hata haufai, yaani mtu anaambiwa ameondoka kwa ridhaa yake yeye mwenyewe ila bado haelewi. Au anajua heshima ni kama vile alivyofanyiwa Gerrad!?