Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Kuna Fundi alikua aliibebesha Spain kombe la Euro 2008.. Huyu jamaa anaitwa Marcos Sena, nadhani alikua pia captain.. achana na kina xavi wala iniesta, hii ndo ilikua injini yao katka dimba la katkati, hili dimba aliligeuza kama geto lako.
Mbaya zaidi leo hakuna hata mmoja anayemkumbuka.. maybe ni kwasababu ya rangi yake.. ila kwangu ni one of the best midfielder niliowahi kuwaona.

daah! Dunia imemsahau shujaa wa Spain Euro 2008.

Me namkumbuka klabuni Villareal, Kikosi chao kilikuwa na watu, Juan Pablo Sorin, Roman Riquelme, Diego Forlan, Juan Capdevilla na wengineoo...
 
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele

Okocha! Nafikiri rangi ilikuwa tatizo. One of the best underrated player kando ya Makelele.
 
Clarence Seerdof.
Jamaa huyu ana uwezo wa kuisoma gemu na kuiua mid yenu na akatibua pasi zenu na yeye ndio akacontrol pale kati kama sebuleni kwake

Yaap! Mholanzi huyu nakumbuka alivyoiua kiungo ya Man Utd.
 
daah! Dunia imemsahau shujaa wa Spain Euro 2008.

Me namkumbuka klabuni Villareal, Kikosi chao kilikuwa na watu, Juan Pablo Sorin, Roman Riquelme, Diego Forlan, Juan Capdevilla na wengineoo...

nakumbuka pia nilimuona katika gemu ya uefa kati ya arsenal na villareal.. huyu jamaa alikua fundi haswa, mana alichokifanya kamwe wenger hatakisahau.
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Carlos Valderama
Lionel Ortiz
Faustine Aspirilla
Hugo Sanchez
J J Okocha
Sunday Oliseh
Cafu
Paolo Maldini
Maniche
Decco
Hazeem Emam
Jackson Mayanja
Edibily Lunyamila
Said Mwamba Kizota
Steven Gerrard
Juan Roman Riquelme
Lucas Leiva
Dan Amokachi
Ambrose Ayoyi
 
Marko Sena .Bonge ya kiungo aisee.Tena kwenye kile kipindi cha mpira wa ukweli hasa.
 
  • Thanks
Reactions: AHA
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?

Mkuu umegundua hao watu wanashabihiana kwa Jambo gani wakiwa uwanjani!???

Nimewahi kuangalia mahojiano ya Claude Makelele... lakini pia hata mahojiano ya Christian Karembeu.. wote walizungumza jambo linalofanana..

"UKIWA UNACHEZA NAFASI YA KIUNGO MKABAJI... UNAKUA UNAFANYA KAZI KUBWA SANA LAKINI MASHABIKI WENGI HAWAIONI"...

Makelele akaongeza " hutakiwi kukaa sana na mpira, ukipora unagusa mara1 au mbili kisha piga pasi sahihi"

Mimi nadhani hizo nafasi zao ndo zinawafanyaga wengi wasiwape heshima stahiki kama Gang Chomba anavyofanya kwa Dinho au wale wa CR7.

kwangu hawa wamewahi kua underrated..
1.Daniel Sturridge akiwa Chelsea.

2.Most of DM's

3.Thomas Muller (hasa kipindi hii ya Guardiola... jamaa ananikela sana, anafanya hadi mashabiki wamuone Muller ni wa kawaida)

4.Haruna Moshi Boban... moja kati ya AM bora kipindi cha karibuni, lakini sijui kwa nn ... au mibange.!?
 
Last edited by a moderator:

Nimekupata mkuu...tatizo ni nafasi wanazocheza.
 
Last edited by a moderator:
Chief, Alonso Madrid aikuwa anaheshimika sana, alikuwa na a.k.a 'El Jefe' ikimaanisha the boss. Alikuwa na uwezo wa kumkoromea hata Cristiano and get away with it, ashawahi kukiri hilo hadharani. Na hata alivyoondoka kwenda Bayern ilikuwa his own wish, Madrid wakatoa Baraka.

Alonso wa Madrid alkua faza sana ajitumi tofauti na liverpool
 
Back
Top Bottom