Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
*Mark Viduka hakuwahi kucheza Liver1. Harry Kewel - Liverpool
2. Mark Viduka - Liverpool
3. Ray Parlour - Arsenal
4. David Seaman - Arsenal
5. Gedo - Egypt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*Mark Viduka hakuwahi kucheza Liver1. Harry Kewel - Liverpool
2. Mark Viduka - Liverpool
3. Ray Parlour - Arsenal
4. David Seaman - Arsenal
5. Gedo - Egypt
Kumbe ndio maana laana imeendelea kumtafuna hadi kwao zambia !Patrick Phiri
ndio mkuuKumbe ndio maana laana imeendelea kumtafuna hadi kwao zambia !
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika
Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.
Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo
Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu
Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.
Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;
Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
Kwa ajili ya MALDINI au nani mkuu
Beki ya kushoto hyoKuna beki alikuwa leeds anaitwa IAN HEART alikuwa balaa sana kwa faulo na kona
David Alaba ni kweli mkuu1-Andres Iniesta
2-Hugo Lloris
3-Makelele Claude
4-Sergio Busqets
5 Phillip lahm
*David Allaba *
daah kweli mkuu...Luis gustavo bayern
Hata Zico haimbwi sana pale Brazil, japo alikuwa ni hatari wakati wake, akiwemo akina Falcao, Socrates na Eder wote hao ni Brazil ya world cup ya 1982.Mario Jardel,hufu mshambuliaji hatari kutoka Brazil ambaye hata timu ya Taifa ya Brazil sidhani Kama alichezea,Club alichezea Bayern,Galatasary.
Hapo kwa Milito uko sahihi sana mkuu1.DIEGO MILLITO- INTER MILAN
2.WINSLEY SNEIJDER-INTER MILAN & MADRID
3.EZEQUEL LAVEZZI- PSG, ARGENTINA
4.DE MARIA- MADRID & PSG, HUYU ANGEKUWEPO SIKU YA FAINALI YA WC 2014 PALE BRAZIL DHIDI YA GERMANY, NAAMINI KOMBE LINGEENDA ARGENTINA, HII NI KWA WALE WANAOJUA MPIRA NA KAMA UNABISHA KAIRUDIE ILE GAME.
5. RICARDO QUARESMA/ BLAISE MATUIDI
anachukuliwa kama mchezaji wa kawaida sana!!
Huyo mtu kuna pasi flani hivi alikuwa anazipost kwa nani na ronaldo ilikuwa hatar mashut hatuyap nafas ila jihad kama boko haramu mimba yake pacha mana kadi tu mwanzo mwisho akifunga ndo unajua yule albino mana hiyo shangilia yake full huzunianachukuliwa kama mchezaji wa kawaida sana!!