Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele

Kwa JJ nikweli kasahaulika

..

Reberry pia na yy kasahaulika

Huyo raheem yeye ni nani mpaka awe bora wakati aguero ndiye anaesumbua uingereza

Gaucho si size ya pele, ungesema zidane zaidi ya pele tungekuelewa.. Gaucho hajafikia ht uwezo wa okocha then vipi awe zaidi tena ya pele?

All players = KING MARADONA & KING MESSI

Hawa ndio fifa inawatambua haswaaaa,, na mafans ulimwenguni kotee...

Japo sio wa RANGI yangu lakini acha niwape haki yao bila kujali rangi ama utaifa wao..wanastahiki mno.. Big up sana Wafalme wa soka mmetupa raha kwelikweli mashabiki wa soka ulimwenguni na wachache wasiokuwa mashabiki wenu
 
Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?

Juan Roman Riquelme-Argentina,Barcelona,Villareal, nk
 
Mario Jardel,hufu mshambuliaji hatari kutoka Brazil ambaye hata timu ya Taifa ya Brazil sidhani Kama alichezea,Club alichezea Bayern,Galatasary.
 
Mario Jardel,hufu mshambuliaji hatari kutoka Brazil ambaye hata timu ya Taifa ya Brazil sidhani Kama alichezea,Club alichezea Bayern,Galatasary.
Hata Zico haimbwi sana pale Brazil, japo alikuwa ni hatari wakati wake, akiwemo akina Falcao, Socrates na Eder wote hao ni Brazil ya world cup ya 1982.
 
1.DIEGO MILLITO- INTER MILAN
2.WINSLEY SNEIJDER-INTER MILAN & MADRID
3.EZEQUEL LAVEZZI- PSG, ARGENTINA
4.DE MARIA- MADRID & PSG, HUYU ANGEKUWEPO SIKU YA FAINALI YA WC 2014 PALE BRAZIL DHIDI YA GERMANY, NAAMINI KOMBE LINGEENDA ARGENTINA, HII NI KWA WALE WANAOJUA MPIRA NA KAMA UNABISHA KAIRUDIE ILE GAME.
5. RICARDO QUARESMA/ BLAISE MATUIDI
Hapo kwa Milito uko sahihi sana mkuu
 
Back
Top Bottom