babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Finnan-Liverpool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhaa...Amisi Tambwe - simba
kweli mkuuKuna Fundi alikua aliibebesha Spain kombe la Euro 2008.. Huyu jamaa anaitwa Marcos Sena, nadhani alikua pia captain.. achana na kina xavi wala iniesta, hii ndo ilikua injini yao katka dimba la katkati, hili dimba aliligeuza kama geto lako.
Mbaya zaidi leo hakuna hata mmoja anayemkumbuka.. maybe ni kwasababu ya rangi yake.. ila kwangu ni one of the best midfielder niliowahi kuwaona.
uko sahihi kabisa mkuuClaudio Makhelele
Mpaka leo inaniuma jinsi gani milan wamemtreat legend paolo maldini, na si yeye pekee, hata mtu kama seedorfKama ya Gerrald alipata Gigs, Raul Gonzalez, Paul Maldin na wengine ila ni wachache.
Inaniuma Michael Owen aliikosa na Steve McManaman aliikosa pia.
Mkuu Jay Jay Okocha alimfanya Oliver kahn kitu mbaya. Sitoweza sahauJ J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika
Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.
Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo
Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu
Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
Kwa ajili ya MALDINI au nani mkuuwashabiki wa Inter Milan waliwahi kuingia Sansiro na shuka kuubwa lililokuwa na ujumbe ambao kwa kiswahili ungesomeka "UKIWA NDANI YA UWANJA WEWE NI ADUI YETU, ILA NJE YA UWANJA WEWE NI MFALME WETU PIA"
Nani mkuuwakuu kuna beki mkali kuliko chielini ila azungumzwi sana ajachuja tangu akiwa liver had I barca
Hili lilkuwa kosa la kijinga sana kuwahi kufanywa na simba , Hivi ni nani aliyesababisha Tambwe aachwe simba ?Amisi Tambwe - simba
Patrick PhiriHili lilkuwa kosa la kijinga sana kuwahi kufanywa na simba , Hivi ni nani aliyesababisha Tambwe aachwe simba ?