Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Davd Bekamp, Asernal jamaa alikuwa fundi sana. Edga Davis Juventus na final za kombe la Dunia Ufaransa 1998 jembe la uholanzi akiwa na sedof. Davd Mwakalebela pamba mwanza. Majid Musis na Robart Aloro SC VILLA
 
Kuna Fundi alikua aliibebesha Spain kombe la Euro 2008.. Huyu jamaa anaitwa Marcos Sena, nadhani alikua pia captain.. achana na kina xavi wala iniesta, hii ndo ilikua injini yao katka dimba la katkati, hili dimba aliligeuza kama geto lako.
Mbaya zaidi leo hakuna hata mmoja anayemkumbuka.. maybe ni kwasababu ya rangi yake.. ila kwangu ni one of the best midfielder niliowahi kuwaona.
kweli mkuu
 
Kama ya Gerrald alipata Gigs, Raul Gonzalez, Paul Maldin na wengine ila ni wachache.
Inaniuma Michael Owen aliikosa na Steve McManaman aliikosa pia.
Mpaka leo inaniuma jinsi gani milan wamemtreat legend paolo maldini, na si yeye pekee, hata mtu kama seedorf
 
Fernando Redondo, haijawahi kutokea mashine kama hii, hata Ronaldinho Gaucho hamfikii, Manure hawatakaa wamsahau ila duniani hakumbukwi kama anavyostahili!

 
J J Okocha - Legend aliye nyimwa haki Ya kutambulika

Alexander leb - Alikuwa Arsenal akaenda kumaliza kipaji chake Barca.

Frank Libery - Dunia haitambui Uwezo wake ipasavyo, ipo busy na Messi na Cristiano Ronaldo

Rahim Sterling - Liverpool. Huyu ndio mchezaji bora wa Muingereza lakini waingereza wame mkariri Rooney tu

Ronaldinho Gaucho - Alipaswa kutukuzwa zaidi ya anavyo tukuzwa pele
Mkuu Jay Jay Okocha alimfanya Oliver kahn kitu mbaya. Sitoweza sahau
 
1.DIEGO MILLITO- INTER MILAN
2.WINSLEY SNEIJDER-INTER MILAN & MADRID
3.EZEQUEL LAVEZZI- PSG, ARGENTINA
4.DE MARIA- MADRID & PSG, HUYU ANGEKUWEPO SIKU YA FAINALI YA WC 2014 PALE BRAZIL DHIDI YA GERMANY, NAAMINI KOMBE LINGEENDA ARGENTINA, HII NI KWA WALE WANAOJUA MPIRA NA KAMA UNABISHA KAIRUDIE ILE GAME.
5. RICARDO QUARESMA/ BLAISE MATUIDI
 
Back
Top Bottom