JOSE MOURINHO
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 231
- 74
Wote wazr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halima mdee mmemsahau angefaa kushika namba hapo!
Wewe tupa tu, wenzako wakanenepe.Hapo ni magige tuu hao wengine tupa kule
Kwa hao watoto wa Vick Kamata,huyo Mvulana anafanana na Baba yake kweli!
Yaani kama alimtapika!
Namba 4 ingekuwa 1.
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?
mbona Jenista Mhagama hayupo? list hii ni batili na ina upendeleo wa hali ya juu..
Kamata ana uzuri gan lakini?
Hapo ni magige tuu hao wengine tupa kule
Wanajamii, kwa sasa hii ndiyo top 5 ya Wabunge Warembo kabisa katika bunge letu tukufu.
Namba 1: Catherine Magige (CCM)
View attachment 135471
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
Namba 3: Joyce Mukya (CHADEMA)
View attachment 135473
Namba 4. Marry Mwanjelwa (CCM)
View attachment 135475
5. Esther Matiko (CHADEMA)
View attachment 135474
KUNA MWENYE SWALI..?