TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
1.ANE MAKINDA,2.HALIMA MDEE..,Ongeza wengne kwa wanaume 1.stephen wasira 2.mfuga nyuki
 
nadhani ungewaachia wanajf kupima nani ni namba moja, na vile vile huo ni mtazamo wako, ungeweka wabunge wanawake wote kisha watu wakapiga kura kuliko kuchagua watano amongst 70.........!!
 


!
!
kavulana baba yake mtupu, rangi mofolojia ya ndoga, ka kike kama hakajafata kwa mama yake...basi kuna mtu atakuwa kama sio kaburini basi anaozea jela
 
Namba 4 ingekuwa 1.

Hapana bwana namba 4 mtu mzima sana huwezi linganisha na namba 1 na 2,3..by the way namba 2 ana watoto wazuriiiiiiiiiii haswa hyuo wa kiume very handsome na kama anafanan na "the King" himself mmh au zile habari ni za kweliiiiii?uwiiiiiiii mama ya Mapenzi na Shule hongera sna watoto wako nimewapenda bureeeeeeeeeeee
 
Hivi mmeshakutana na ester bulaya live na kwa taarifa tu hata makinda ni vile tu umri umemtupa mkono ni kama umponde meghji kwa muonekano wake wa uzee kuhusu wassira sina la kusema.ila ester ni chombo bila kumsahau wa kagasheki nani vile?
 
mbona Jenista Mhagama hayupo? list hii ni batili na ina upendeleo wa hali ya juu..

Kweliiiiiii,na Pindi Chana je??mmesahau she icute with a baby face!!!na Ummy Mwalimu nae mrembo jaman excepte for the---------; plus Angela Kairuki Mremboooo mtoto shooooo rangi ya jogoo,akifanya diet kidongo tu hapatatosha
 
No 1. Kashikilia pesa kama anachanga kalata vile, sijui alikuwa anacheza na nani maana.
 
Hapo ni magige tuu hao wengine tupa kule

Halafu kwenye hyo list mbona Mhong Said Ruwanya hayupo???(viti maalum Chadema kupitia Kigoma mwisho wa Reli); ni kifaaaaa pamoja na Ustaadhati wake ila ni mremboooo;i know mdogo ake(nae mrembo balaa) kaolewa na clasmate wangu msaidiz wa Wazir wa Mambo ya nje
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…