kwani baba yake huyo mtoto wa kiume ni nani? mbona mnaongea kama mnamfahamu vile?
mbona Jenista Mhagama hayupo? list hii ni batili na ina upendeleo wa hali ya juu..
Mwanjelwa apande juu hatua mbili mkuu hapo umemdhulumu! nimrembo aisee, ingawa ni mwizi. Hivi ameolewa? Mwenye namba yake tafadhari!
1.ANE MAKINDA,2.HALIMA MDEE..,Ongeza wengne kwa wanaume 1.stephen wasira 2.mfuga nyuki
Haka kasredi nahisi uhai wake upo mikononi mwa mods...
Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?
'UREMBO NA MVUTO' wao unasaidia nini katika kazi yao na ujenzi wa taifa?
Bado kanapumuaHaka kasredi nahisi uhai wake upo mikononi mwa mods...
Kwa hao watoto wa Vick Kamata,huyo Mvulana anafanana na Baba yake kweli!
kwani baba yake huyo mtoto wa kiume ni nani? mbona mnaongea kama mnamfahamu vile?
Kwa safari za Mwanza, Kilimanjaro panda FASTJET...
Usipoelewa na hapo we kalaghabaho...
Kweli aisee anafanana sana na baba yake....
'UREMBO NA MVUTO' wao unasaidia nini katika kazi yao na ujenzi wa taifa?
tatizo sauti mkuu
Moja ya majukumu yao ni safari za Dubai.sorry! hivi hawa nao huwaga wana kazi/majukumu??
Kwani kuna mtanzania asiyemjua Baba wa huyo mtoto ?kwani baba yake huyo mtoto wa kiume ni nani? mbona mnaongea kama mnamfahamu vile?