TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

TOP 5. Wabunge Warembo Wenye Mvuto

Status
Not open for further replies.
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshang‘amua bado wewe tu

kama kusoma hawezi hata picha hawezi kuangalia!!!!!!!!!

mbona kila kitu kinajieleza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
jaman MAGIGE jamaniiii, muheshimiwa nani anaepumzika kwa huyu mrembo,
 
Mwanjelwa apande juu hatua mbili mkuu hapo umemdhulumu! nimrembo aisee, ingawa ni mwizi. Hivi ameolewa? Mwenye namba yake tafadhari!
Mkuu,Marry Mwanjelwa siyo mwizi ile ilikuwa michezo ya siasa za maji taka tu.
Ila nakubaliana na wewe kuwa ni kweli huyu dada ni mzuri...na siyo uzuri tu,huyu dada ni mchapakazi kuliko unavyofikiri.

Pamoja na kuwa mimi siipendi CCM ila huyu dada namkubali sana! Kwanza hutasikia hata siku moja wakigombana na Sugu
wa Chadema...wanafanya kazi moja na wanaheshimiana sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom