Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Heshima Mbele Mkuu
Tukimsema tutafungiwa, wewe mfananishe tu huyo mtoto mvulana wa Vick kamata na Baba yake ,yaani bila kupepesa macho nasema wanafanana sana . Do your home work utakubaliana nami .Mbona wengine wemeshangamua bado wewe tu
!
!
mh!kwa bahati mbaya simjui, ila kiuhakika kafanana sana na dokta naniii
thread ya kipuuz sana.......!
Ngoja nikate kiu yako..
View attachment 135587
Huyo namba 3 ndo yule aliyeambiwa apitie Dubai kwa ajili ya kustarehe na kiongozi wa upinzani bungeni?
wamefanana saana...................
wamefanana saana...................
Halima mdee mmemsahau angefaa kushika namba hapo!
Namba 2: Vicky Kamata (CCM)
View attachment 135472
umelazimishwa kuingia!!!!!!!!!!!!
Duh. Mwenyekiti anafaidi jamaniii! Kamata na Vicky nae....teh teh,uongozi mtamu banaa asikwambie mtu.
Mkuu,Marry Mwanjelwa siyo mwizi ile ilikuwa michezo ya siasa za maji taka tu.Mwanjelwa apande juu hatua mbili mkuu hapo umemdhulumu! nimrembo aisee, ingawa ni mwizi. Hivi ameolewa? Mwenye namba yake tafadhari!