Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
he huyu mtoto wa kiume wa Viky anafanana na Riz one du'
!
!
mh!kwa bahati mbaya simjui, ila kiuhakika kafanana sana na dokta naniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he huyu mtoto wa kiume wa Viky anafanana na Riz one du'
Heshima Mbele MkuuAcha kuishi kwa assumption wewe... A spade will always be a spade... Sema kama unajua..otherwise, funga kiongeleo hicho.
Chuki binafsi'
haha umeonaeee...
(ila to be honest wanatudhalilisha sana as wanapogawa papuchi watuthibitishia kuwa ni kwanini walipewa hizo nafasi, ngoja nikafuge kuku mie)
Haka kasredi nahisi uhai wake upo mikononi mwa mods...
si mseme sasa kafanana na nani?
kwani baba yake huyo mtoto wa kiume ni nani? mbona mnaongea kama mnamfahamu vile?
sorry! hivi hawa nao huwaga wana kazi/majukumu??
'UREMBO NA MVUTO' wao unasaidia nini katika kazi yao na ujenzi wa taifa?
Halima Mdee hana uzuri wowote chunusi kibao usoni na sauti yake mbaya. Inawezekana hujawahi kumuona.
Halima mdee yuko wapi?
View attachment 135476
Ungejaribu kutuonyesha full kama hivi ili tujilizishe kama yale mambo yetu yapo "Mpondondo" kudadeki ila mzee nanii anafaidi.....
Usifanye mchezo Kagasheki ilibidi awalazimishe TANAPA wampe shilingi
milioni 20 kwenda kwenye NGO yake!! Unaona vikuku hivyo?
Umeona eeh?kumbe sio wewe tu?
Nimevipenda hivyo VIKUKU!View attachment 135476
Ungejaribu kutuonyesha full kama hivi ili tujilizishe kama yale mambo yetu yapo "Mpondondo" kudadeki ila mzee nanii anafaidi......!!!
Umeona eeh?kumbe sio wewe tu?