Top 5 Wasanii bora wa kuimba wa muda wote Tanzania

Top 5 Wasanii bora wa kuimba wa muda wote Tanzania

Bando la wiki

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2023
Posts
911
Reaction score
3,017
Moja kwa moja kwenye mada.

5. Matonya
Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake.
4. Jay dee
Msikilize kwenye nyimbo Mawazo, na nyingine kibao
3. Q chilla
Msikilize kwenye nyimbo zake nyingi Nipo, Carolina, mtoto wa rais
2. Ali kiba
1. Diamond platnam
 
Moja kwa moja kwenye mada.

5. Matonya
Kwenye ubora wake huu jamaa alikuwa moto, msikie kwenye nyimbo kama Tax bubu, Vailet, Dunia mapito n.k nadhan wasanii wa sasa wana kitu cha kujifunza kwake.
4. Jay dee
Msikilize kwenye nyimbo Mawazo, na nyingine kibao
3. Q chilla
Msikilize kwenye nyimbo zake nyingi Nipo, Carolina, mtoto wa rais
2. Ali kiba
1. Diamond platnam
Kama wewe wasema hivyo basi sawa, naomba usikilizwe
 
Mwimbaji mzuri ni yule ambaye anaweza kuimba na live band na sauti yake ikasikika vizuri
Wasanii wengi wa bongo fleva hawawezi kuimba na bendi na wakiimba wanasauti mbaya
 
1.Rama D
2.Dada Judith Wambura
3.Ruby
4.Dully
5.Enica
6.King Kiba
7.Q Chilla
8.Barnaba
9.Starah Thomas
10.Hemed Phd & Mr Poul
 
Muziki ni mpana sana.

Unaposema KUOMBA inamaana Gani??????

JIFUNZE MZIKI KABLA HUJALETA TAAKATAKAA ZAKO HAPA JAMII FORUM.

Mziki unavipengele vingi mno.
Una mamabo mengi sana.
JIFUNZE hata kwaakina manju WA muziki.

Umeandika TAAKATAKA.........
 
Mtoa mada hii nilitaka kupita kimya kimya ILA nafsi inaniambia hapa kuna ukweli unaenda kupotea na history ya ukweli inafinywa!,Jina la mada limebeba ujumbe mkubwa mno labda ungei dilute kwa kuweka muda na SIO upumbavu huu,nchi hii ina mziki wake uliokuwa na heshima na adabu ,mziki ulioitambulisha nchi kama nchi,sio upuuzi huu wa sasa ,eti tunapiga amapiano!,nyimbo kama za kule Harlem!F...,wapi mionjo ya kingoni, kizaramo,kigogo, kisukuma etc etc, nchi hii iwakumbuke akina Salum Abdallah, Mbaraka M,Muhidn Ngurumo, Shem Karenga, Maalim Bitchuka, TX William, etc etc,sio hawa kenges tembo, almasi ambao wamenajisi na kuvuruga mziki wetu, angalia SA music wao unakwenda na chain ile ile ya kuitambulisha SA kuanzia Mariam Makeba,Leta Mbulu,Brenda Fasse,Stimela etc etc
 
Back
Top Bottom