Top 5 yangu ya wadada MMU ninaowakubali zaidi JF

Hahahahahah aiseeee ila hapo kwa Sky Eclat nakubaliana na ww kbs kwa 100%
 
Kapeace nilishawahi kukwazana naye kuna siku lakini siku hizi kawa mwanangu kweli.
 
Halaf nawe huna mkuyenge humuwezii
 
Mkuu huwa kuna top 5 bora na mbovu.
Nasubiri mbovu tujionee hayo makinikia ya jf.
 
kama unawakubali sisi tufanyaje sasa..kuna haja gani kuwafungulia uzi siungewafata pm,kuna haja gani ya sisi kujua kwamba unawakubali...acha shobo we niwakiume[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…