kyula
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 698
- 458
Ikipandisa mori wakati kamesa mwensake hakuna sida wewe iko endelea kukoroga tu[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikipandisa mori wakati kamesa mwensake hakuna sida wewe iko endelea kukoroga tu[emoji3]
Unauhakika?Hatimae kapaace amasababisha tumelipwa pesa ya makinikia yetu safi sana
Ww kala bingo kwa Ontario secretary wa TMT mambo ya forex anakula ma dollarnifah namkubali pia, ila sijamuona jukwaani muda sana, naskia kala ban
Hahahahahah aiseeee ila hapo kwa Sky Eclat nakubaliana na ww kbs kwa 100%Habari wana MMU bila ya kuwachosha nimeona bora nishee nanyi wadada ninaowakubali zaidi hapa MMU
1. kapeace
huyu ni mwanamke peace sana kama lilivyo jina lake, sijawahi kuona kakasirika au kupovuka hata kama ukimtolea comments za shombo kiasi gani, ni mtu wa watu na anajikubali sana jinsi alivyo, anasimamia misimamo yake, yupo active sana kutoa ushauri pale inapobidi. Namkubali sana, sometimes ana utani utani mwingi, hata kiuhalisia nahisi ana furaha sana maishani mwake, ukionana nae ni mcheshi meno 32 yote njeeeeeeee........................nampa 95%
2.Sky eclat
Nampa strong big up! ana busara/hekima sana. Kila anachocomment huwa kina mantiki. Hata kama una tatizo na unahitaji ushauri, jielezee, utashauriwa vizuri tuuu....She is an optimist woman meaning that she looks things at its positive side. All in all anastahili sifa kwa kweli......................naye nampa 95%
3. Miss natafuta
anaonekana katika pande kuu mbili:
side A (bright side)
Ana huruma sana kwa watu, ni mtu anaejua kujichanganya na kujua dili nyingi za town, mcheshi, anajipenda na anapenda sana kula vitu vinono ( sweets, bites, delicious foods etc)
side B(dark side)
Inaonekana kuna mwanaume alimvuruga sana katika mahusiano na hadi sasa 100% hana imani kabisa na wanaume. Anawachukulia wanaume ni watu wabinafsi, katili na wasio na huruma. Sio kosa lake ni kosa la njia alizopitia maana sometimes mapenzi kamari...Ana hasira(anapanic upesi) na ukimwendea kichwa kichwa unakula za uso(anatoa povu la kutosha)............all in all aliniinspire hapa jf...........nampa 90%
4. Miss chaga
Hapa hakuna maelezo mengi zaidi ya HELA. Toa hela, maelezo machache( few words)...aisee, huyu mwanamke ana vinasaba vya hela, anapenda helaaaaa, yupo tayari kwa lolote as long as "hela" ipo. Kati ya comments zake 10, 9 zinazungumzia hela directly/indirectly. Hayupo tayari kuwa na mtu asiye na hela "ati nina upendo wa dhati" wewe pita kushotooo, usimsogelee kabisaa.....
Ila huwa najifunza sana kutoka kwake kuwa wanaume tupambane. Ukitaka mahusiano mazuri na imara Pesa inahusika sana.
Huyu nampa 80% na ujumbe juu
" sometimes pesa si kila kitu katika maisha, utu pia unahitajika"
5. Kihuba
Hapa utafiti wangu umegonga mwamba kidogo, maana kila nikitafiti sample space zangu hazinipi ushirikiano, zinagoma kabisa....Hii ni kwa sababu haijulikani anawaza nini! anabadilika badilika kama kinyonga. Anaweza asubuhi kusema anatafuta mchumba, mchana kapata, jioni wameshaachana, kesho anatafuta tena,,,,, huwa ananifurahisha sana na kunifanya niione JF kuwa kisiwa cha burudaniii....................Huyu nampa 70% na asante kwa kuvunja mbavu zangu.....
Hiyo ndio top 5 yangu, nawe pia unaweza weka ya kwako, karibuni sana
Kaa mkao wa kupokea keyaah...hizo hazitutoshi watanzia wote kupata kila mmoja noah
Amekuweka font fadeRadical asante sana kwa kuniwekamo kwny top five yako, na karibu tena
Kapeace nilishawahi kukwazana naye kuna siku lakini siku hizi kawa mwanangu kweli.Habari wana MMU bila ya kuwachosha nimeona bora nishee nanyi wadada ninaowakubali zaidi hapa MMU
1. kapeace
huyu ni mwanamke peace sana kama lilivyo jina lake, sijawahi kuona kakasirika au kupovuka hata kama ukimtolea comments za shombo kiasi gani, ni mtu wa watu na anajikubali sana jinsi alivyo, anasimamia misimamo yake, yupo active sana kutoa ushauri pale inapobidi. Namkubali sana, sometimes ana utani utani mwingi, hata kiuhalisia nahisi ana furaha sana maishani mwake, ukionana nae ni mcheshi meno 32 yote njeeeeeeee........................nampa 95%
2.Sky eclat
Nampa strong big up! ana busara/hekima sana. Kila anachocomment huwa kina mantiki. Hata kama una tatizo na unahitaji ushauri, jielezee, utashauriwa vizuri tuuu....She is an optimist woman meaning that she looks things at its positive side. All in all anastahili sifa kwa kweli......................naye nampa 95%
3. Miss natafuta
anaonekana katika pande kuu mbili:
side A (bright side)
Ana huruma sana kwa watu, ni mtu anaejua kujichanganya na kujua dili nyingi za town, mcheshi, anajipenda na anapenda sana kula vitu vinono ( sweets, bites, delicious foods etc)
side B(dark side)
Inaonekana kuna mwanaume alimvuruga sana katika mahusiano na hadi sasa 100% hana imani kabisa na wanaume. Anawachukulia wanaume ni watu wabinafsi, katili na wasio na huruma. Sio kosa lake ni kosa la njia alizopitia maana sometimes mapenzi kamari...Ana hasira(anapanic upesi) na ukimwendea kichwa kichwa unakula za uso(anatoa povu la kutosha)............all in all aliniinspire hapa jf...........nampa 90%
4. Miss chaga
Hapa hakuna maelezo mengi zaidi ya HELA. Toa hela, maelezo machache( few words)...aisee, huyu mwanamke ana vinasaba vya hela, anapenda helaaaaa, yupo tayari kwa lolote as long as "hela" ipo. Kati ya comments zake 10, 9 zinazungumzia hela directly/indirectly. Hayupo tayari kuwa na mtu asiye na hela "ati nina upendo wa dhati" wewe pita kushotooo, usimsogelee kabisaa.....
Ila huwa najifunza sana kutoka kwake kuwa wanaume tupambane. Ukitaka mahusiano mazuri na imara Pesa inahusika sana.
Huyu nampa 80% na ujumbe juu
" sometimes pesa si kila kitu katika maisha, utu pia unahitajika"
5. Kihuba
Hapa utafiti wangu umegonga mwamba kidogo, maana kila nikitafiti sample space zangu hazinipi ushirikiano, zinagoma kabisa....Hii ni kwa sababu haijulikani anawaza nini! anabadilika badilika kama kinyonga. Anaweza asubuhi kusema anatafuta mchumba, mchana kapata, jioni wameshaachana, kesho anatafuta tena,,,,, huwa ananifurahisha sana na kunifanya niione JF kuwa kisiwa cha burudaniii....................Huyu nampa 70% na asante kwa kuvunja mbavu zangu.....
Hiyo ndio top 5 yangu, nawe pia unaweza weka ya kwako, karibuni sana
Ni sehemu ya maisha tu peace sana mkuuKapeace nilishawahi kukwazana naye kuna siku lakini siku hizi kawa mwanangu kweli.
Same to youSawa kapeace.
Usiku mwema.
hahahahaha..!! pole kamandaMkuu unawezaje kugundua me na ke kwa hizi fake ID humu Jf,kuna wakat nadhani nachombeza mrembo kumbe jamaa mwenzang,nilifadhaika sana siku ile
Wach weee na ukawa wa kwanza kuchangia, hongera bibieRadical asante sana kwa kuniwekamo kwny top five yako, na karibu tena
Halaf nawe huna mkuyenge humuweziiImekuwaje huyu Mwanadada Mrembo kabisa Zurie umemsahau Mkuu? Nasikia #1,2 na 4 wana ' Mbunye ' tamu kuliko mfano na ambazo zimetukuka kabisa. Huyo #3 ana Mbunye yamoto halafu ' mtelezo ' mno sema tatizo lake ni moja tu kwamba ni Pipa la SIMTANK / Mnene mno hivyo anayemkabili katika zoezi zima la ' Kibaiolojia ' anatakiwa awe na ' Mkuyenge ' wa maana ambao utaweza kukabiliana kabisa na ' minyama minyama ' yake.