sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Poa nitakutajaKesho njoo na top five ya wanawake wapole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa nitakutajaKesho njoo na top five ya wanawake wapole
Kumbe nawe upo kamati ya top...list.Poa nitakutaja
YapKumbe nawe upo kamati ya top...list.
Ulimchombeza nani mkuu[emoji3]Mkuu unawezaje kugundua me na ke kwa hizi fake ID humu Jf,kuna wakat nadhani nachombeza mrembo kumbe jamaa mwenzang,nilifadhaika sana siku ile
Yule Chakula cha mkulu???Kuna minongo'no kuwa kapeace ni yule waziri mwenye tumbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2]Aah wapi yule ni mmaza bhana anakaribia na menopause kabisa wakati mie hata nusu ya safari Bado
Wewe wasemaYule Chakula cha mkulu???
Kwani kapeace Bado Upo single nami uniwekamo kwa watarajiwa?Radical asante sana kwa kuniwekamo kwny top five yako, na karibu tena
Radicals Nifanyie mpango nimpate kapeace maana namkubali saana[emoji1] [emoji2]nitakuja nayo mkuu, ila ngoja nifanye utafiti wa kutosha
Unaogopa kunyofolewa CCTV kamera kabla ya tukio Mkuu?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe wasema
Niko married mkuuKwani kapeace Bado Upo single nami uniwekamo kwa watarajiwa?
Huwezi chepuka for a while bhana[emoji2] [emoji3]Niko married mkuu
Mmmh kwa hiyo niishie kukubali tu? Haha popote alipo shemela heshima kwakeNiko married mkuu
Usinifundishe tabia mby bhanaHuwezi chepuka for a while bhana[emoji2] [emoji3]
Basi dadaangu nimekoma mieUsinifundishe tabia mby bhana