Baby kila kitu kina muda wake tatizo Bongo mnaishi kwenye filamu siku zote munasahau realities za life kuna wakati wa kazi na wakati wakujirusha full. Hata Ughaibuni kule Marekani hawaishi maisha ya Hollywood siku zote. Mbona tukija huko Tz warembo wa kibongo hawatuachi. Maana sisi tunajua ku-appreciate uzuri wa kike. kwanza mademu wa tanga huniacha hoi kwa jinsi hurembesha kiswahili na lafudhi ya ki-aina yaani natamani nimle mzima mzima.
Hehehe this "war" of kenyans and tanzanians is very entertaining hapa JF.
For me its not,on the contrary its puerile,stupid and embarrassing trying to compete over tiny issues at hand,instead of a healthy competition with high caliber brains of inclusive.
wanataka tu kuona tofauti maybe..ila hapana..hamko romantic kwa kweli
watoto wa kitanga ni watamu sana ktk mahaba.usipo kuwa chonjo utatelekeza familia.
kawaida hapakosi mbuzi mweusi katika jamii, naona uliangukia Mkenya mbaya lakini tupo wazuri jamen, ustuhukumu sana labda niruhusu nikutafute natumai kutalii sehemu inaitwa kigoma hivi karibuni.
Evelyn nijaribu uone vile nitakuninii
It looks like you have tested it already...lol! Ndio maana. Ukiwa nalo lile ndio unakuwa mtu mzima maana hakuna uliko punguzwa.
For me its not,on the contrary its puerile,stupid and embarrassing trying to compete over tiny issues at hand,instead of a healthy competition with high caliber brains of inclusive.
Hahahaha!..dah wewe kweli hazikutoshi aisee. Kwa hivyo unafahamu msemo "Mtu mzima ni mjaluo"?
mmmh kwani ushatoa ile kitu inafunika kichwa?
i mean cap?
mamako nyang'au wewe.wee mpu.mbavu
embu soma alicho kujibu mkuu lawmaina78 .
First,the source for this erroneous contention speaks volumes,i mean Facebook?(am replying to the topic by the way)Ha ha ati top 10 romantic men in Africa in relation to their respective countries,inanivunja maribs sana.Again Obinna is absorbed with Nigerian movies so much hence making him believe that Nigerians are the most romantic in Africa.Hence its just pure anecdotal(of an account) but quite unreliable since its not based on a solid research.Nevertheless i bumped into one popular Ugandan newspaper(at least this time based on a study) which claimed that in East Africa,Uganda blazes the trail,then Tanzanians and finally Kenyans last in relation to romance ha ha.Anyway we Kenyan men don't give romance high priority,buda we are busy hustling looking for cash,plus why romance when you get tones of sex monthly.News Just In....Top 6 Most Romantic Men in
Africa..
*Nigerian Men
*Ugandan Men
*Ghananian Men
*Tanzanian Men
*Egyptian Men
*Ethiopian Men....Kenyan Men aint anywhere
among the Romantic Men List. pwahahahaha.
source: https://m.facebook.com/obinna.ike.735/posts/203218573135616?stream_ref=5
my take:
i've pranked you kenyans,sorry with a plausible title .
the author mr.obinna ike igwee says you're nowhere to be listed as the romantic men in africa.
CC Geza Ulole waltham lawmaina78 and all beutiful ladies of MMU under the strong leadership of lara 1 charminglady Madame B Evelyn Salt Passion Lady Karucee and Heaven on Earth .
mje mtupe testimonies zenu about our male inlaws up north.
Kama wataka kujua nijaribu dada.....
hapo uliponiita dada ndo umeharibu sasa.....