mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
wanataka tu kuona tofauti maybe..ila hapana..hamko romantic kwa kweli
Baby kila kitu kina muda wake tatizo Bongo mnaishi kwenye filamu siku zote munasahau realities za life kuna wakati wa kazi na wakati wakujirusha full. Hata Ughaibuni kule Marekani hawaishi maisha ya Hollywood siku zote. Mbona tukija huko Tz warembo wa kibongo hawatuachi. Maana sisi tunajua ku-appreciate uzuri wa kike. kwanza mademu wa tanga huniacha hoi kwa jinsi hurembesha kiswahili na lafudhi ya ki-aina yaani natamani nimle mzima mzima.