Top 7 Worst Prisons in Africa, number 3 is in Nigeria

Segerea,Ukonga na Keko zote ni hoteli za kiwango cha Kati.
 
Kenya wanatop kwenye kila rekodi mbaya hapa afrika.
 
Hujui hata magereza mabaya la rwanda hulijui unaleta uzi hata hujui
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana dada
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chumba chako pekeako, Tv, chakula mara 3, ukitaka unaweza kuagiza radio yako ya mziki kutoka kwenu na ukala mziki mnene ndani PlayStation au Xbox, unachagua kwenda kufanya kazi au kusoma corse kama ya IT nk, lazima uchekiwe afya ukitaka usitake kila mwezi+ukitaka kumuona doctor ni appointment yako siku yyte ispkua weekend, kila ijumaa unaletewa shopping yako ulioioder wiki iliopita kwa mfano siagi, chocolate, samaki, tools za toilets na mengi, kuna day ktk week za kucheza mpira wa miguu, basketball na kwenda jim, makanisa na miskiti imo ndani, lakini kuna wababe unaweza kupigwa kukatwa pua mdomo kuvunjwa meno nk, Ni hatari coz unaweza kuuwawa kwa kuchomwa kitu chenye ncha kali ukafa apoapo, hakuna gereza Salama sema utofauti upo, ukitaka uishi vizuri kwenye gereza hio uwe mpole+mnyonge sana kuliko mara zote ktk life yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…