Namba 1 sijakusoma lakini huko kulikobaki uko vizuri!List yangu ya best Mcee's
1. Chindo Man a.k.a Umbwa
2. Fid Q
3.Prof J
4. Jay Moo
5.Ngwair.
Chalii yangu jay moo ndo nani arifu darasa ndo kachukua nafasi ya ngwea
1. Fid q
2. Nikki Mbishi
3. One incredible
4.zaid
5.Songa the Mc
Nakubaliana nawewe kabisa.List yangu ya best Mcee's
1. Chindo Man a.k.a Umbwa
2. Fid Q
3.Prof J
4. Jay Moo
5.Ngwair.
Pata muda wa kuwasikiliza utawaelewaKutoa Fid Q hao wengine hawana tofauti na Stamina. Wanaunga mistari.
Mi nime shangaa kuna mtu aana muweka hadi mwana FADarasa na Ali Kiba hawana tofauti ya uimbaji. Darasa haimbi hiphop.
Ngwair ndio lakini sio top 5,List yangu ya best Mcee's
1. Chindo Man a.k.a Umbwa
2. Fid Q
3.Prof J
4. Jay Moo
5.Ngwair.
NIMEKUELEWA1. Fid q
2. Nikki Mbishi
3. One incredible
4.zaid
5.Songa the Mc
Darasa na Ali Kiba hawana tofauti ya uimbaji. Darasa haimbi hiphop.
Pata muda wa kuwasikiliza utawaelewa
Ngwair ndio lakini sio top 5,
Hatuzungumzii mitundo huru.top 5 ya nchi ina vigezo zaidi ya freestyleNaomba uniambie mcee gani hapa bongo anamzidi Ngwair kwa mitindo huru? Kama yupo namtoa kwenye top 5 yangu.
Daaa mkuu poa sana kwa hii ngomaKwa ambao hawamjui Chindi,sikilizeni verse ya kwanza.
Sasa mkuu ile ndio hip hopMkuu,nimewasikiliza sana. Niki mbishi,zaid,maalim nash,sterio na songa.