Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Hao woteee hawajathubutu kipnd hiki cha Mzee baba lakn tupo mwanaume mmoja anaitwa MZALENDO uwiiiiiiiiii yule ndio master kwa sasa.
 
Mijadala ya mashabiki wa hiphop huwa iko poa sana, ni maelewano na facts tu
 
Stoppa Rhyme maker Yokoi
Izzy nako
Donnie
Umbwa mzee Chindo man
chaba 009
naomba Fid q awe wasita maana sling Za hao jamaa watano Ni kweree tupu


hao Ndioo kali Yao Tz
Chindo Man is underrated. Umbwa ni mkali sana
 
Back
Top Bottom