Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Huyu ni binti mkali wa kurap na sio mlimbwende. Hata sura yake na uvaaji sion ulimbwende. Lkn ni mtazamo wangu tu mkuu
Yes Mkuu!
Naheshimu mtazamo wako,na Pia hatufanani kama alama za vidole .
Kwangu Mimi sidhani kama naweza pata muda wa kumsikiliza huyo binti.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Niki mbishi..songa one hawapo???..list fake young killer bado mzee
 
Chalii yangu jay moo ndo nani arifu darasa ndo kachukua nafasi ya ngwea
Tofautisha kati ya rap na Hip-Hop Darasa ni rapper hafanyi hiphop saizi japo anajivisha hicho kivuli cha hip hop kama alivyo kua akifanya kipindi cha nyuma
 
Tofautisha kati ya rap na Hip-Hop Darasa ni rapper hafanyi hiphop saizi japo anajivisha hicho kivuli cha hip hop kama alivyo kua akifanya kipindi cha nyuma
hahaha, utofauti wa hivyo vitu viwili ni nini?
 
hahaha, utofauti wa hivyo vitu viwili ni nini?
Tapper ni msanii yeyote anae rap na kurap unaweza rap katika mdundo wowote na pasipo kufuata misingi ya Hip hop. ...ila Hip hop ina nguzo ambazo husimamiwa na ndio humuongoza msanii wa Hip hop mfano tumuchukulie huyo Darasa fuatilia ngoma zake za nyuma kama sikati tamaa alomshirikisha Ben Paul, Nishike mkono na hizi anazo fanya saizi hata mwenyewe anajua kua ameacha misingi sio MC tena bali ni waki rapper ndio maana utasikia anakwambia wanasema nime change nimepitia mengi.......hivyo inabidi utambue hilo mkuu. .. ila MC ni rapper sababu anarap ila rapper sio MC sababu hafati nguzo za Hip hop
 
Kwa utafiti upi? Au ni maoni yako tu?
Kama ni maoni tu me naona wasanii bora wa hip hop ni.
Watengwa
Chindo
Nash mc
Ibra da hasla
Jcb
 
Stoppa Rhyme maker Yokoi
Izzy nako
Donnie
Umbwa mzee Chindo man
chaba 009
naomba Fid q awe wasita maana sling Za hao jamaa watano Ni kweree tupu


hao Ndioo kali Yao Tz
 
Napenda mambo haya ila ngoja niwe naangalia list tuu huku natabasamu
 
One incredible
Stereo
Songa
Fid q

Hip hop ni mziki weny mambo mengi..una nguzo kama tano ivi sasa nashangaa munawaweka apo watu kama kina izzo mara munamuweka byser kiuhalisia ao watu ata nguzo za hip hop awasimamii...mtafute ata youngd muulize unazijua nguzo za hip hop utasikia majibu...hip hop sio kuimba tu ni zaid ya uimbaji na utunzi wa muziki...
 
Back
Top Bottom