Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo basi hapo kwenye list yako haukutakiwa kumuacha chid benz.Mitindo huru ni nguzo ya hiphop,uwezi kuwa best mcee kama hauwezi kufree style. Wasanii wengi wa hiphop hawawezi kufree style,wanarudia nyimbo walizotunga.
Kama ni hivyo basi hapo kwenye list yako haukutakiwa kumuacha chid benz.
Tulia ww pmbi unamjua vizuri mo tech ww,?????Chalii yangu jay moo ndo nani arifu darasa ndo kachukua nafasi ya ngwea
kuna cku nilishawai huliza humu ili ku kujua kama huu mziki wa hiphop tunangalia nn??mdundo au mashairi ya iyo nyimbo??darasa ile anayoimba c hiphop.Darasa na Ali Kiba hawana tofauti ya uimbaji. Darasa haimbi hiphop.
Nawasiwasi na ufahamu wako wa akiliHii ndo top five ya wasanii wakali wa hip hop na sehemu wanazotoka
1. Fid q from Mwanza
2. Mwana fa from Tanga
3. Pro j from Songea
4. Darasa from Mwanza
5. Young killer from Mwanza
Hii imayofuta ni orodha ya wana hip hop waliozoea kubebwa
1. John makin from Arusha
2. Stamina from Morogoro
3. Niki wa pili from Arusha
4. Izzo biznes from Mbeya
5. Roma mkatolik from Tanga
Mkuu na we hujielew songa pale anaimba nn cjsona hiphop anayo imba songa Bali yeye anaongea a.k.a anasimulia ndo hip hop gan iyo mkuu jielewe basMkuu,nimewasikiliza sana. Niki mbishi,zaid,maalim nash,sterio na songa.
Apo kwa NAC mc umezngua hakunaga hip hop ya kuongea au kutoa hadithi flan uyo na songa n wale waleFid q
Falsafa
Nikki mbishi
One incredible
Nash Mc
Kaka wanaojinasibisha na hip hop na mambo mfano wao kwa kutumia tamko zuri la "Mashairi",bila shaka wanalishusha hadhi tamko hili.Kwangu nawapa udhuru sababu hawajui wayasemayo.Nimegusia nukta yangu hii kutokana na kauli yako isemayo "mdundo au mashairi ya iyo nyimbo".kuna cku nilishawai huliza humu ili ku kujua kama huu mziki wa hiphop tunangalia nn??mdundo au mashairi ya iyo nyimbo??darasa ile anayoimba c hiphop.
kuna mmoja aliniambia hiphop cm mziki ni utamaduni sasa kama co mziki ni utamaduni mbn unawekwa kwnye categor za tunzo mbalimbali???
Hakuna kama Roho 7Sawa hakuna shida lakin wasanii wakali ndo hao pamoja na mkubwa
ROHO SABA