laurent bonifasi
Member
- Oct 17, 2014
- 23
- 3
Woteee mmepuyangaaaa[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Young killer anamzidi joh ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndo top five ya wasanii wakali wa hip hop na sehemu wanazotoka
1. Fid q from Mwanza
2. Mwana fa from Tanga
3. Pro j from Songea
4. Darasa from Mwanza
5. Young killer from Mwanza
Hii imayofuta ni orodha ya wana hip hop waliozoea kubebwa
1. John makin from Arusha
2. Stamina from Morogoro
3. Niki wa pili from Arusha
4. Izzo biznes from Mbeya
5. Roma mkatolik from Tanga
Sugu ni mwizi wa nyimbo za wasanii alafu ana den bank la hotel yake amekaribia kufilisiwaHawa ndio wasanii WA Hip hop hapa bongo angalau walijaribu kuzungumza vitu kadhaa vyakuikosoa serikali na kuwaamsha raia na mienendo Yao! !
1=Mr 2 (Sugu)
2=Kala Pina
3=Afande sele
4=Solo Thang
5=Father nelly/Roma mkatoliki
6= Prof jay
7= Chindo Man/JCB
8= Jay moe
9= Joe makini
10=Chid benz
Kuna huyu mwamba anaeitwa Hashim Dogo huyu ndie alitarajiwa kua msanii bora WA hip hop hapa Bongo kama angeamua kujikita kwenye Mziki.
Lol , 15 years anabebwaTena mbali sana sema joh anabebwa sana
CHINDO MAN wa Arusha huyo wa kitambo tu kabla ya wana hiphop wengi wapya.Wa wap huyu sjawah mskia
Achana na vitoto vya juzi vipaka poda hivyo...Yaan vinaongea ili tuu vitoe harufu mdomoni.Zali la mentali,Ndio Mzee,Jina Langu,Bongo Dar es salaam,Chemsha Bongo,Niamini,Nang'atuka,Nikusaidieje,Promota anabeep zote zilikuwa Hip Hop Singeli?!
Au wakati ule ulikuwa bado ujafika mjini?!
Kwa kukusaidia hakuna msanii wa Hip hop mwenye hit songs(nyimbo za taifa) nyingi bongo kama Profesa Jay au unaowakubali wewe wote waliamua ku-rap kisa Profesa Jay ni Role Model wao.
Wakaje hata wawili tuu..Punguza mahaba kwa profesa we mzalamo kuna watu wameanza hip hop kitambo kabula hata ya huyo profesa wako
Halafu ukirudi,uwe ushaacha utoto,stupid..Ngoja nikumbuke nitakuja mida mchiz wangu