Naisoma360
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 821
- 491
P- THE MCFid q
Falsafa
Nikki mbishi
One incredible
Nash Mc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
P- THE MCFid q
Falsafa
Nikki mbishi
One incredible
Nash Mc
hapa sawa list imesimama1. Fid q
2. Nikki Mbishi
3. One incredible
4.zaid
5.Songa the Mc
Chemical yupi?Hizo list panga mpangavyo lakin nimuone chemical humo ndo tutaelewana.
#1. Chindo a.k.a Umbwa
#2. Fid q
#3. Sugu
#4. Solo Thang
#5. Songa
Wasanii mabingwa wa kuunga unga
#1. Stamina
#2. Joh Makini
#3. Roma
#4. Niki wa 2
Nash mc umemuacha1. Fid q
2. Nikki Mbishi
3. One incredible
4.zaid
5.Songa the Mc
Nash mc1. Fid q
2. Nikki Mbishi
3. One incredible
4.zaid
5.Songa the Mc
"Sawa wanapata pesa, vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya Kansa"-Nakupenda hip hop.Hakuna kama Roho 7
Chalii yangu jay moo ndo nani arifu darasa ndo kachukua nafasi ya ngwea
Jamaa asingeingia jeshini angekuwa Noma sana, yani level za akina kendrick lamar wa bongo"Sawa wanapata pesa, vipi kuhusu wadogo zetu nao wanafaidi anasa itadhuru zaidi ya Kansa"-Nakupenda hip hop.
Roho 7 Jamaa alikuwa vyema sana aisee,Heshima kwako popote alipo.
WEWE HAMNA KITU UNAJUA.Kwanza nataka mjue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya hiphop na rap. Ukiwasikiliza hawa wasanii unaweza kudhani wanafanya mziki wa aina moja.
Wanaofanya real hiphop ni Roma Mkatoliki na Stamina. Hao kina fid Q na Jay wao wanafanya Rap. Unajua mara nyingi hip hop inagusa maisha halisi ya mtu. Mara nyingi huwezi kukuta hiphop ipo kwenye mashwala ya mapenzi.
Kwa bongo hiphop ipo Arusha na morogoro. Ingawa kwa dsm wapo wachache wanaojaribu kufanya hiphop ingawa wakati mwingine wanatoka kwenye mstari.
Kwangu wanaofanya hiphop ni
1. Stamina
2. Roma Mkatoliki
3. Afande Sele
4. Ney wa Mitgo ingawa huyu anatoka nje ya mstari.
5. Kala jere100.
6. Madee
Wanaofanya rap wapo kibao.
1. Jay
2. Fid Q
3. Nikki Mbishi
4. Jay moo
Na wengine wa aina hiyo.
Uko sawa mkuu. Vizuri sana!Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City , hasa katika
kitongoji cha Bronx.
DJ Afrika Bambaataa alieleza kwa
muhtasari wa nguzo nne za utamaduni wa Hip hop: U-MC , U-DJ, breaking na
uandikaji wa graffiti.
Elementi nyingine ni pamoja na
beatboxing .
Uenezi
Kwa vile imeibukia kutoka mjini South Bronx , utamaduni wa Hip hop umeenea
dunia nzima.
Muziki wa hip hop awali ulianzishwa na Ma-DJ waliokuwa wanatengeneza midundo kwa kutumia mtindo wa kurudirudia na kusimama (hasa katika visehemu vidogo vya muziki wa kusisitiza mwelekeo wa kigongoma) b turntable mbili, hasa hujulikana kama kusampo muziki.
Hii baadaye ikaja kusindikizwa na "rap", mtindo wa wizani unaotoa maneno au mashairi yaliyo kwenye vipimo vya mstari ulalo wa nota 16 katika fremu ya muda, ikiwa sambamba na beatboxing, maujanja ya sauti hutumika hasa katika kugezea mfumo wa midundo na elementi za muziki mbalimbali na mautundu na vionjo kadhaa kutoka kwa Ma-DJ wa hip hop.
Muundo kamili wa kudansi na staili kadha wa kadha za mavazi zimezua mashabiki miongoni mwao katika muziki mpya. Elementi hizi zimeonesha mabadiliko ya na maendeleo kadha wa kadha katika historia ya utamaduni huu. Baadhi ya miziki ya hip-Hop hutoa maelezo ya kisiasa.
Mahusiano baina ya graffiti na utamaduni wa hip hop unatokana mionekano mipya tofauti iliyoongeza ufafanuzi wa kina na uenezi tofauti wa kivitendo ambapo kwingine walichukulia elementi ya hip hop kama sehemu ya sanaa, kukiwa na mpitilizo mkubwa baina ya hao wanaondika graffiti na hao wanaotenda elementi zingine za hip hop kivyao. Leo hii, graffiti imebakiwa kuwa sehemu ya hip hop, wakati kwa upande wa sanaa imechukua eneo kubwa katika masuala ya picha na michoro katika maeneosho mbalimbali duniani kote.
Asee kama kuna yeyote hamjui Chindo man basi uyo hajui hip-hop kabisa. Tena akae mbali kabisa na hii systems.Endeleeni kufatilia visingeli.
Nenda na wewe ukaolewe ..achaga upimbiiChindo man nasikia kaolew na mzungu wa kike
Hata kufyy kapwayaa kinoma
Jamaa walikuwa poa sn yracj zao zote tamuu balaa
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Hakika jamaa alikuwa anatisha,Jamaa asingeingia jeshini angekuwa Noma sana, yani level za akina kendrick lamar wa bongo
kweli mzeeHakika jamaa alikuwa anatisha,
Hivi taarifa hizi za kuwa yupo Jeshini ni za kweli maana huwa nazikia sana?