scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 899
Huyu ba swalehe muthenge thanaWe huna akili hakiamungu
I.d ipi tena ...Nimeona hi I I'd nikajua tu tayar ushachezea ban. Umepewa ya muda gani?
I.d ipi tenaNimeona hi I I'd nikajua tu tayar ushachezea ban. Umepewa ya muda gani?
Na ban mpka ... Lini sijui dahBasis bwana. Vipi happy besidei
2 years ... Acha ntulie nsome1week
Wewe ... Nipo likizo now corse work znaanza tena mwez ujao .. So no stress. ..mziki wa neuro unaujua !!?Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa wamekukomesha sana weka screen shot tuone
Nmepewa ya siku tatu ... Mpaka keshokutwa ... Sema ndo hvyo now npo free nkija kupotea humu. ...mtantafuta sanaHahaaaaaaaaaaaaaaaaa wamekukomesha sana weka screen shot tuone
HongeraMm kilaza sijapita shule ujue..
Hata mm sijapitaMm kilaza sijapita shule ujue..
... Napotea mkuu kama navyopoteaga ... Serious studying ... Cascading and escalading ... To become a perfect ... Scientist is not an easy job ...Unaenda WAP uniachie contact zako pm
Soma kwa bidii dogo uje kuwa fundi mitambo wa helikopta yangu hapa Bunju... Napotea mkuu kama navyopoteaga ... Serious studying ... Cascading and escalading ... To become a perfect ... Scientist is not an easy job ...
mastersSoma kwa bidii dogo uje kuwa fundi mitambo wa helikopta yangu hapa Bunju
Watu wasiojulikanaUsisahai kuacha contact zako pm